Black BackUp
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 770
- 732
Uchaguzi ujao gombea, ukifanikiwa utapata jibu lisilo na shaka.Habari za wakati huu?
Uchaguzi ujao gombea, ukifanikiwa utapata jibu lisilo na shaka.
Bila shaka hamna majibu ya kile kilichoulizwa...kwa nini msitulie wanaojua waseme kwani lazima mkomenti wapuuzi ninyi?We ni mke wa hashim rungwe?
Kwa nini wanawake weusi mnakuwa wakali kila saa?Bila shaka hamna majibu ya kile kilichoulizwa...kwa nini msitulie wanaojua waseme kwani lazima mkomenti wapuuzi ninyi?
Kwa nini wanawake weusi mnakuwa wakali kila saa?
Wenye majibu sahihi ni wahusika huku JF hakuna mwenye Festi Ledi.Bila shaka hamna majibu ya kile kilichoulizwa...kwa nini msitulie wanaojua waseme kwani lazima mkomenti wapuuzi ninyi?
Thread imebandikwa saa 7:48 usiku, mi mida hiyo huwa niko dunia nyingineHabari za wakati huu?!!
Imekua kawaida sana hasa baada ya uchaguzi Mkuu na mpaka kufikia hatua ya kuapishwa kua raisi wa nchi, Wakati akiwa amekabidhiwa nchi punde Mda si mrefu hua wanamfata mkewe popote alipoajiliwa na kumuachisha shughuli aliokua anafanya(ajira yake) pengine kwa kuwaaga wafanyakazi wenzake au lah!
Naomba kufahamu baada ya kuachishwa kazi (ajira) mke wa Raisi ( first lady) hua anapewa kazi gani ya kufanya? na je hua analipwa mshahara Kama raisi anavolipwa ?Kama ndio Malipo yake yapoje? Je hua ana Ofisi Kama vile makamu/waziri Mkuu??
Vipi Nssf/ppf yake Kule alipoachishwa kazi anapewa immediately au inaunganishwa Kule anapopelekwa??
hahahhaahhaaWe ni mke wa hashim rungwe?
Mama Nyerere naye ni mwalimu kwa taaluma.Kama ni mtumishi wa umma anachukua likizo ila mshahara kama kawaida mpaka skistaafu,kama ni house wife kama mama nyerere jibu unalo,kama ni sekta binafsi anaacha kazi,yeye ni msaidizi wa rais anakuwa na mlinzi wake binafsi na wasaidizi,
Mumewe hawezi yeye atajuajeHivi Máma Jáneth anaweza hata salimia kwa kizungu.!¿??
😷😷😷
Kumbe,aliwahi kufundisha wapiMama Nyerere naye ni mwalimu kwa taaluma.
Huyo aliasisi ufisadi, ina maana mshahara na marupurupu ya pm hayatoshi kumnunulia mke nguo? jukumu la mme kwa mke ni lipi?Anaacha kazi ili iwe rahisi kwake kuambatana na rahisi katika ziara pale inapohitajika. Sina uhakika kuhusu malipo.
Ninakumbuka Cherry Blair hakuacha kazi yake kama Jaji wa mahakama kuu mume wake alipokua Waziri Mkuu lakini alipunguza masaa ya kazi.
Aliongengelea pia kuhusu gharama za mavazi na kusema yeye alimudu kujinunulia lakini alipendekeza kuwe na fungu la mavazi ya mke wa PM huko mbele.
Kwani yeye Ni mzungu? Anajua kusalimia kikwao Tena kwa heshma na taadhima.Hivi Máma Jáneth anaweza hata salimia kwa kizungu.!¿??
😷😷😷