hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
Yap na huwenda kama pangelikuwa na hizo option basi I truly believe Kuna kundi kubwa la binaadamu wange kataa kuja , cause Dunia imejaa uovu mwingi kuliko Mema , Suffering ni kubwa sana we're really suffering a lot , At end of the day tuna kufa na hata tilicho kuwa tuna kupigania hakionekani ni ujinga mtupuHii ni kwa sababu atuja request au ku apply form zozote kuja hapa duniani.. ni tumejikuta tu
Period