KERO Abood mnatukosea sana Abiria wenu

KERO Abood mnatukosea sana Abiria wenu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Alsaheedi, weka kando kwenye hiyo list! Mnatoka Mbeya mjini on time mkifika Uyole basi linakaa hapo zaidi ya lisaa… Hilo basi weka kwenye kundi la Happy Nation, Abood na Mengineyo yalioyogeuza Uyole kama stand kuu…
Hahahahaha
 
Kama Unaenda MBEYA Usafiri wa Uwakika Tumia Bus hizi
1. Alsaheedi
2.New Force
3. ABC
4. Achimwene.
Mara zote kama naenda MBEYA matumia hizo Campuni⁸
Ila abood sipandi Hata kwa Bure Wana Bus Chakacha kwel hiyo Ruti.
Ukitaka panda abood nzuri panda za kwenda moro tu.
Zile Buses mpya za Abood alizoingiza weekend iliyopita zitakuwa zinaenda wapi ?
 
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.

Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.

Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine

Wafanyakazi wenu hawajui kuongea vyema na wateja.

View attachment 3392779
Siku nyingine upande ABC bus ndio kampuni ambayo ni ya uakika Dar , Iringa,Mbeya na Tunduma ni kampuni ya kwanza ambayo haina mpiga debe abiria wanaifata wenyewe
 
We nae hujielewi,yani unaenda mbeya unapanda Abood kabisa?hiyo migari yao ni spanner mkononi..pia mkifika morogoro watawapeleka kule kwenye ofisi zao mtapoteza muda mpaka mfike mbeya ni kesho saa 10 jioni.
 
Hapa umeongea kama ngaunje mkuu inamaa Abdulaziz haoni kama biashara imekua mbaya au nzuri?!
Labda anaona tofauti na mimi. Tangu lini Abood alikuwa anaenda Tanga, Musoma, Karagwe, Tanga n.k.? Hii imetokana na ujio wa SGR ulioathiri route yake kuu ya MORO-DAR. Hivyo hivyo, na Shabiby kaathirika na SGR kiasi cha kuanzisha ruti nyingi mpya. Sasa unapoona basi haliondoki muda uliopangwa, na sio basi chakavu au bovu, sababu ni moja tu halijajaa. Labda lengo lake ni kuua vikampuni vidogo kama Kimbinyiko etc ili wahodhi ruti hizo. Haihitaji akili kubwa kujua biashara ya mabasi imekuwa ya ushindani sana kwani sisi ndio wasafiri tunaona. Unapanda basi limejaa 50%.
 
Nimekusoma
 
Kama Unaenda MBEYA Usafiri wa Uwakika Tumia Bus hizi
1. Alsaheedi
2.New Force
3. ABC
4. Achimwene.
Mara zote kama naenda MBEYA matumia hizo Campuni
Ila abood sipandi Hata kwa Bure Wana Bus Chakacha kwel hiyo Ruti.
Ukitaka panda abood nzuri panda za kwenda moro tu.
Mmmh hata hizo za moro nazo ni utapia mlo tuu, Wee fikiria ticket nimekata saa 3 nakuja kuondoka saa7 yaani masaa manne unapiga miayo....
 
Back
Top Bottom