Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,288
- 5,764
Kampuni ya Mabasi ya Abood mnatukosea sana Abiria wenu,haiwezekani tumekata tiketi ya bus la kwenda Mbeya lililotakiwa kuondoka saa Tisa na nusu lakini mpaka muda huu hakuna bus.
Wafanyakazi wenu wa hapa Magufuli wanatujibu hovyo yaani wanatuona sisi kama takataka.
Huu ni upuuzi wa kiwango Cha juu,kama biashara imewashinda kafanyeni shughuli zingine
Wafanyakazi wenu hawajui kuongea vyema na wateja.
View attachment 3392779
Kwenya App ya abood bus la kwenda Mbeya linatoka dar saa kumi na mbili jioni (6pm) na kufika Mbeya saa tatu asubuhi (09am) hilo la saa tisa umetoa wapi?
Abood wapo makini sana, Angalia ticket yako imeandikwa saa ngapi, na sio kusikiliza maneno ya vishoka.
Ni vizuri tuwe makini kabla hatuja chafua Biashara za watu!!!!