Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,134
- 62,152
Kama zote zinafanya kazi, inakuwaje kunakuwa na malalamiko?Nilikua mbezi kama sio mwanzoni mwa wiki hii
Abood alishusha bus 20 na zote kafunga azam
Kama zote zinafanya kazi, inakuwaje kunakuwa na malalamiko?Nilikua mbezi kama sio mwanzoni mwa wiki hii
Abood alishusha bus 20 na zote kafunga azam
Kana Kera sanaAbood kale katabia ka mkifika pale Moro mnaingia mule gereji kwao wanakaa almost 30 minutes to 1 hour ni ka kifala.
First time nikahisi bahati mbaya. Second time nikajiuliza au ni mimi nina bahati mbaya?
Kutoka hapo ikawa ni ABC Upper Class tu.
HahahahahaKwa mbeya siku nyingine panda
FIRST PRIORITY
1. Katarama
2. NewForce/Golden Dear
3. ABC
4. Achimwene
SECOND PRIORITY
1. Hai Travelaz
2. New Songo
3. Luwinzo
4. Sweet Africa
5. Kimbinyiko
6. Happy Nation
THIRD PRIORITY
1. Rungwe Express
2. Green Line
3. Abood
4.
Basi tulikua wote kwenye hiyo gari mkuu😅😅.Hiyo ndiyo ilituletea shida
Kwa mbeya siku nyingine panda
FIRST PRIORITY
1. Katarama
2. NewForce/Golden Dear
3. ABC
4. Achimwene
HatariLabda anaona tofauti na mimi. Tangu lini Abood alikuwa anaenda Tanga, Musoma, Karagwe, Tanga n.k.? Hii imetokana na ujio wa SGR ulioathiri route yake kuu ya MORO-DAR. Hivyo hivyo, na Shabiby kaathirika na SGR kiasi cha kuanzisha ruti nyingi mpya. Sasa unapoona basi haliondoki muda uliopangwa, na sio basi chakavu au bovu, sababu ni moja tu halijajaa. Labda lengo lake ni kuua vikampuni vidogo kama Kimbinyiko etc ili wahodhi ruti hizo. Haihitaji akili kubwa kujua biashara ya mabasi imekuwa ya ushindani sana kwani sisi ndio wasafiri tunaona. Unapanda basi limejaa 50%.