Possibly true.Kuna mdau kasema inawezekana wafanyakazi hawalipwi, naweza kukubali swala. Limekua kama daladala yaaani dereva,makonda,vishoka wote wanapeleka hesabu kwa boss tu ila mishe zote wanafanya wao kuanzia mafuta mpaka kujilipa.
Ukitaka vya bei rahis na ukereke kama mnavolalamika hapa panda hao wababaishaji aboud.Na ustaarabu na comfort lkn kwa nauli iliyoenda shule...
Hata sisi juzi mende kibao wametutambaa abiria kwy basi la Al Saed. Hakuna ukaguzi, trafiki wako bize na notifications za spidi 50 na buku mbilimbili za matingo.[emoji23][emoji23][emoji23]
Al Saedy nao naonaga wachafu wachafu tu. Poleni sana.Hata sisi juzi mende kibao wametutambaa abiria kwy basi la Al Saed. Hakuna ukaguzi, trafiki wako bize na notifications za spidi 50 na buku mbilimbili za matingo.
Wanapeleka hesabu kama bodaboda!?Kuna mdau kasema inawezekana wafanyakazi hawalipwi, naweza kukubali swala. Limekua kama daladala yaaani dereva,makonda,vishoka wote wanapeleka hesabu kwa boss tu ila mishe zote wanafanya wao kuanzia mafuta mpaka kujilipa.
Hana gari jipya hata moja. Na hayo mazee hayana ukarabati.
Achana nae, tafuta gari nyingine.Hana gari jipya hata moja. Na hayo mazee hayana ukarabati.
Wamiliki waliwahi kumuhamisha DTO fulani wa Kibaha akatupwa Kusini hukooo mpakani.Hawaweki mafuta kwy Petrol Station ya mtu ila ya kwao tu Moro na Dar ndiyo maana wakiishiwa mafuta wanasubiri hadi gari la patrol lifike. Wako kama Wapemba ambao hawanunui bidhaa duka lisilo la Mpemba.
Shabiby ana Petrol Station yake na Hoteli yake.
BM ana Petrol Station yake.
Abood ana Petrol Station yake.
Msukuma kule Kanda ya Ziwa ana Petrol Station yake kwa ajili ya mabasi yake 50.
Check and balance hakuna.
Ma-RTOs nchi nzima wanayaogopa mabasi hayo ya wanasiasa. Ukiwapelekea kesi hupati msaada wala ushirikiano.
Ombeni MUNGU ampe mama nguvu za kumalizia SGR ndiyo mwarobaini wao na ndiyo mtajuwa JPM alikuwa proactive.
😂😂Huyu nadhan Mabus yake yashazoea uswahili, nimepanda gar la Mwanza tokea Morogoro, ilibidi nicheke vadala ya kukasirika, inasimama kila kituo hadi inauliza watu nyiee mnaenda ilihal hao watu wamebeba majembe wanaonekana wakienda zao shba kabisa.
Haya gari liko full ila as long kuna abiria anataka kupanda atapandiswa,
Kila stendi ya iwe ya kijiji, wilaya au mkoa itaingia, Stendi ya Gairo ikaingia ikakusanya wauza karanga za kuchemsha na wengineo ikawa hata pa kupumlia hamna,
Likafika Mbande stendi likaingia,
Kibaigwa stendi likaingia,
Nikasema hili Mwanza litatembeea week njiani,
Ikabidi nishuke tu njian nikaanzisha shuguli nyingine ku-buy time ili nipange safari nyingine upya na silu nyingine
Ndio kibaha maili mojaUpdate Ya Safari Vp Huko......
Waarabu na waswahili wa pwani mtindo wao wa management wanajua wenyewe. Ukiona wanafanya passenger transport hawafilisiki usifikiri hio ndio biashara yao.Wakuu habari za asubuhi
Abood ameleta mabasi mengi tu lakini hadi sasa hawataki kubadilika na tabia zao za ajabu ajabu.
Leo na safiri na Bus lao la Abood kutoka Tunduma kwenda Dar lakini cha kushangaza linabeba abiria Kama daradara njiani gari imejaa lakini konda bado anapakia watu njiani viti vyote vimejaa Hadi watu wengine wamekaa kwenye korido na wengine wamesimama.
Lakini pia siti uliyokatiwa ticket siajabu usikae unaambiwa kaa popote pale mjiriekebishe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanafika bukoba. Karagwe yako mengine unamlazimisha wakati mali yake. Kweli mbumbu wako wengi.Walitoa matangazo kuwa wanaanzisha njia ya Dar kwenda Karagwe.
Hadi leo haijaanza.