π€£π€£π€£π€£ππππ€£π€£πππππ€£π€£π€£ππππAbood ni basi la kiswahili sana Tena sana,inabidi ulizoee tu. Pia wafanyakazi wake kila mmoja ana nguvu kama vile hakuna management. Yeye analeta mabus tu lakini wafanyakazi ndio wanayoendesha.
Abood zote lazima mjazane ndani ya gari ndio wanaondoka.
Nilipotezea tuAchana na hao wa kahama nenda juu zaidi as longer unayo ticket ...ungelipwa na fidia
Gari za uhakika zinazojulikana zinaenda kigoma na hautaapata usumbufu ni Adventure na Saratoga tu.Kuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia.
Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma. Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wananiomba rushwa
Zinatokea wapi mkuuGari za uhakika zinazojulikana zinaenda kigoma na hautaapata usumbufu ni Adventure na Saratoga tu.
Zinatokea Dar, au zinatokea KigomaZinatokea wapi mkuu
AhsanteZinatokea dar,au zinatokea kigoma
Mikoa mingine sijui
Unachosema nakubaliana nawe mkuu ni waswahili haswa. Wiki iliyopita nilichelewa kidogo bus zile za saa 12 asubuhi nilikuta zishatoka, jamaa akanilengesha bus la Abood linalokuja Iringa ilhali mi naenda Mbeya wakaniambia watanifaurishia Iringa.Abood ni basi la kiswahili sana Tena sana,inabidi ulizoee tu. Pia wafanyakazi wake kila mmoja ana nguvu kama vile hakuna management. Yeye analeta mabus tu lakini wafanyakazi ndio wanayoendesha.
Abood zote lazima mjazane ndani ya gari ndio wanaondoka.
Kumbe ndo Mana abood zilikuwa zinapita singida sa mbili night uelekeo mwanza from darUnachosema nakubaliana nawe mkuu ni waswahili haswa. Wiki iliyopita nilichelewa kidogo bus zile za saa 12 asubuhi nilikuta zishatoka, jamaa akanilengesha bus la Abood linalokuja Iringa ilhali mi naenda Mbeya wakaniambia watanifaurishia Iringa. Wakanipiga hela ndefu lakini sikujali as long as nitafika Mbeya swadaka. Aisee tulikaa toka saa moja ile mpaka saa nne kasoro, abiria tukamaindi sana ndio wakaamua walitoe lilipopark na kulipeleka kwa mabus ya Moro ili kuongezea abiria ili liondoke. So Kama abiria tusingekomaa bhasi lingeendelea kutega tu pale sheinzy.π¬
Kimbembe sasa tulipofika gereji yao pale Moro, washenzi walituwekesha pale mpaka abiria mmoja akashuka kwenda kumkwida dereva ndio akalitoa na kuanza safari. Siisahau hii safari tunaingia Iringa stand saa moja kasoro na kufaulishwa bus la Mbeya na kuingia saa nane usiku.
Abood siwahitaji tena maishani mwangu hata mbadirike vipi.π¬π¬π
Wanachelewa sana kutoka pale Magufuri stand mkuu. Wajinga sana hawa, wamekuwa kama daradara mpaka wajaze ndio liondoke. Yale mambo ya time management ukifika muda wa saa 12 au saa moja kamili linaondoka hawana sikuhizi.Kumbe ndo Mana abood zilikuwa zinapita singida sa mbili night uelekeo mwanza from dar
Polisi dawa yao ni kumpigia mkubwa wao tuKuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia.
Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma. Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wananiomba rushwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Itakua amaomba wampunguzie nauli... new force kuna dereva anaitwa linyama yule jamaa hafai inatakiwa awe anendesha ndege...
Vituo vingi Sana .. Bora bus masaa ya mbele halina muda wa kupoteza hapo stand sa 12 kamili linachomokaWanachelewa sana kutoka pale Magufuri stand mkuu. Wajinga sana hawa, wamekuwa kama daradara mpaka wajaze ndio liondoke. Yale mambo ya time management ukifika muda wa saa 12 au saa moja kamili linaondoka hawana sikuhizi.
Mimi naona Polisi Ni Polisi tu hakuna mkubwa wala mdogoPolisi dawa yao ni kumpigia mkubwa wao tu
LATRA sawa. Lakini Polisi hapana aiseePigia simu latra