HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Itakua amaomba wampunguzie nauli... new force kuna dereva anaitwa linyama yule jamaa hafai inatakiwa awe anendesha ndege...Kutoka Tunduma si ungekwea
Newforce baba🙌
Wafanyakazi wanapiga helaWakuu habari za asubuhi
ABOOD ameleta mabasi mengi tu lakini hadi sasa hawataki kubadilika na tabia zao za ajabu ajabu.
Leo na safiri na Bus lao la Abood kutoka Tunduma kwenda Dar lakini Cha kushangaza linabeba abiria Kama daradara njiani gari imejaa lakini konda bado anapakia watu njiani viti vyote vimejaa Hadi watu wengine wamekaa kwenye korido na wengine wamesimama.
Lakini pia siti uliyokatiwa ticket siajabu usikae unaambiwa kaa popote pale mjiriekebishe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Nilikuta zimejaaKutoka Tunduma si ungekwea
Newforce baba[emoji119]
Achana na hao wa kahama nenda juu zaidi as longer unayo ticket ...ungelipwa na fidiaKuna basi linaitwa Tembo safari, linatokea Dar, walinitapeli kwa kuniambia linafika Kigoma kumbe linaishia Kahama. Wakaniandikia ticket ya Kigoma , tulipofika Kahama konda akanikimbia. Mbaya zaidi nilikuwa na mizigo na wamenitoza nauli yake Hadi Kigoma.
Polisi wa pale stendi ya kahama nao hawana maana. Badala ya kunisaidia wanahiomba rushwa
Duh...huwa nadhani huo upuuzi unafanywa na New Force tuWakuu habari za asubuhi