Huo usafiri ulikua wa kisasa wakati wetu wa shule. Madereva wa malori walikua mpaka wanajivuna. Tulikuwa tunageuzwa pamba maana malaria yalikuwa ya mamlaka ya pamba. Hatari kweli..dah milima ya uporoto umenikumbusha zamani tukienda shule, maisha ya boardin irambo hakuna fashion!
Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"
Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"
KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?
TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.
Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
Chunga sana mipaka ya uhuru wako. Acha matusiDereva kalewa gongo! Haaa!
Sawa hiyoooo?
Njiani kamteka Roma!!!!!! Haaaaa!
Sawa hiyoooo?
Aaaata! Hiyo si sawa dereva acha vituko!!!!!
Kwa hiyo ndio unataka kuniteka!???Chunga sana mipaka ya uhuru wako. Acha matusi
We una mawazo mazuri kweli ya kukosoa ili mabaya yaachwe na mazuri yazingatiwe.Wenzako hawako huko.Wanapiga kelele ili Dereva achanganyikiwe,Lori liache njia.Wao wanataka aharibikiwe ili watafute Dereva mwingine wanaomtaka wao 2020.Wengine wamnataka Lowassa.Jaman Lowassa ataweza kuwa Dereva mzuri?Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"
Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"
KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?
TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.
Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
Dereva vip na sisi tunaoshukia vituo vya njianiiiiiii. ..sasa si wote tutajikuta stend wakati tulitaka kushuka njiani... Vip nauli za kurud utatupa....
Leo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"
Akaongeza "mimi ni dereva mzuri sitakiwi kujali watu wamekaaje na wanaangalia wapi. Nachowaakikishia roli la maendeleo nitalifikisha kwenye maendele"
KUMBE! dereva wetu anasikia? tulidhani amefunga vioo kwa sababu ya upepo na kelele za magari mengine. Au labda kelele zetu zimekuwa nyingi akaweka headphone ili a-concentrate na usukani. Kumbe anasikia?
TUPAZE SAUTI: tumwambie huku nyumba utingo wake wanapoteza abiria kwa kuwashusha kwenye gari na htujui wako wapi? wengine wanashushwa na kurejeshwa wakiwa hoi kwa majeraha. Tumwambie ile amri yake ya kumkosoa dereva mpaka tufike safari tunayokwenda haitekelezeki. Tumwambie kwamba yule KONDA wake mmoja anavamia mabegi ya abiria na kuchukua frash za abiria nk.
Matokeo ya abiria kutopiga kelele dereva alibaki na wale aliyokaa nao mbele amba wanaogopa kupiga kelele, wanaogopa kumshauri na dalili za roli kuanza kuacha njia ziko wazi.
halafu ujifikirie....! Malori hayabebi abiria kweli kwenda minadani!? Huko vijijini...wangapi wanakwepa fuso wakati wa mnada, gurio, soko ufikapo? Ujumbe uliwalenga walio wengi!kwanza anaonekana hajui sheria ilishakatazwa kubeba watu kwenye malori, hivyo anapaswa kuachia usukani mara moja,
ananikumbusha ule wimbo dereva kalewa gongo haaaaa hiyo si sawa dereva acha vituko..
kwanza anaonekana hajui sheria ilishakatazwa kubeba watu kwenye malori, hivyo anapaswa kuachia usukani mara moja,
ananikumbusha ule wimbo dereva kalewa gongo haaaaa hiyo si sawa dereva acha vituko..
Amesema hasikilizi kelele za abiria yeye kazi yake kufikisha lori.wewe piga kelele mpaka koo lipasuke mwenzako hageuki wala kupunguza mwendoLeo dereva wetu kwa kinywa chake amekiri anatusikia! amesema "ukiwa unaendesha roli na umebeba watu, kuna watakaoangalia mbele, kuna watakaongalia ubavuni (nadhani alitaka kusema pembeni si mnajua kiswahili cha dereva wetu?) na wengine wataangalia mbele. Kama umebeba wasukuma wataenda wanaimba"