Abiria afariki ndani ya Mohamed Trans
Mutabora
Member
Apr 29, 2010
45
4
Abiria aliyetambuliwa kwa majina ya George Onesmo amefariki ndani ya basi la Mohamed Trans namba T642 lililotoka Dar kuelekea Bukoba.
Mwili umehifadhiwa hospitali ya mkoa wa Kagera na marehemu amepatwa na mauti kati ya mji wa Kahama na Chato.
Kamanda wa Polisi Henry Salewi amesema uchunguzi unaendelea.
Lokissa
JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,467
apunzike kwa amani,yawezekana pia heart attack au pumu.sielewi inakuwaje siku hizi watu wanakufa ghafla namna hiyo.
Pota
JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,018
710
mohamed trans imeanza kutoka kivingine eti? RIP ONESMO G
Shine
JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Mungu ampe pumziko la milele na mwanga wa bwana umwangazie amen
Filipo
JF-Expert Member
Jan 6, 2011
9,335
5,512
Huyo jamaa inasemekana alikuwa anakunywa konyagi tangu alipoingia kwenye basi na walipokuwa wanaondoka kahama jamaa alikuwa anashindwa kupanda hata kwenye basi, konda akamsaidia. Mpaka mauti yalipomkuta alikuwa anamalizia chupa ya 4.
Source ni RFA kipindi cha matukio leo asubuhi.
Kweli ulevi noma!
Binti Sayuni
JF-Expert Member
Feb 25, 2009
367
50
Ni kweli ilitokea hivyo mimi nimesimuliwa na jamaa yangu aliyekuwemo kwenye basi hilo. Marehemu alipandia Dodoma na inasemekana alikuwa mwajiriwa wa Dodoma Hotel.
King'asti
JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
nchi haina taratibu hii! kuna siku iliongelewa hapa kuhusu uhusiano wa gharama unayolipia na quality of service. kuna abiria alikataliwa kukwea dar express coz alikua amelewa tena asubuhi! jamaa akawa analalama kua hiyo sio ndege! sasa abiria wengine vifo huwa vinatu-traumatise jamani! ama kwao kanyigo walau amepunguzia watu kazi!
Huyo jamaa inasemekana alikuwa anakunywa konyagi tangu alipoingia kwenye basi na walipokuwa wanaondoka kahama jamaa alikuwa anashindwa kupanda hata kwenye basi, konda akamsaidia. Mpaka mauti yalipomkuta alikuwa anamalizia chupa ya 4.
Source ni RFA kipindi cha matukio leo asubuhi.
Kweli ulevi noma!
Mamndenyi
JF-Expert Member
Apr 11, 2011
35,835
36,982
R.I.P Bwana ikukupendeza umsamehe na kuyasahau makosa yake yote, apumzike kwa amani.
jogi
JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,579
25,246
muwe mnatafsiri basi wandugu, mtu unaandika kiarabu kwa kiswahili, unashindwa kutafsiri ama kutuandika kwa kiswahili, ole wako ikibainika ni tusi!!!!
Sajenti
JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
408
Ni kweli ilitokea hivyo mimi nimesimuliwa na jamaa yangu aliyekuwemo kwenye basi hilo. Marehemu alipandia Dodoma na inasemekana alikuwa mwajiriwa wa Dodoma Hotel.
...Huenda jamaa alikuwa frastrated maana haya maisha bana sio mchezo. Hapo madeni, au katimuliwa kibarua Dodoma hotel, wife hajatulia, nyumba ndogo inakupelekesha au amegonga demu mwenye ngoma ili mradi ni taabu tu. any way RIP George , kufa ni kufa tu..
andrewk
JF-Expert Member
Apr 13, 2010
3,102
484
hapo inawezekana waliposimama kula chakula alikula ugali wa moto, ni hatari sana, watu wengi wanazimika kwa stali hiyooooo, wenye taaruma ya udaktari tupeni sababu
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Umesahau Password au akaunti yako?
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us
0 Reactions
Reply
Top Bottom