Abiria afariki ndani ya Mohamed Trans

..kumbe kuna watanzania bado wanapanda Mohamed Trans? statistics zake kiukweli zinatisha, matukio mabaya ni kila mwezi.
 
Jamaa anazikwa leo saa kumi jioni,huko Bugabo,bukoba mjini,George Tumaini Onesmo al-maarufu kama George Best,kaacha watoto 2 na mjane,wakazi wa Dodoma tunamfahamu sana,alikuwa ni Jirani yangu..R.I.P GEORGE BEST
 
ndiyo yule meneja wa club 84?
 
Back
Top Bottom