Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!


ujitahidi uje uwe rais wetu uwe unateua vizuri.
 
Ii inadhiirisha ni jinsi gani viongozi wa juu wa vyombo vya usalama wanafanya kazi kwa maslai ya chama tawala wakiwa na mategemeo kama haya ya kulipwa fadhila baadae.....binafsi simlaumu kikwete bali nawalaumu wale waliomuweka pale alipo.
 
Alaniwe JK!

Wanafanya nchi mali yao!

Katiba mpya ipunguze madaraka ya raisi.

Acheni kuleta hoja nyepesi humu, mnajua kwamba China na Tanzania kwa sasa zimeanza mipango ya kistrategia kijeshi bali na mipango mingine ya uchumi. Kwa hiyo sioni tatizo Shimbo kwenda kwa sababu pia uteuzi wa Balozi nchi mwenyeji ni lazima pia Ifanye vetting na kwa hiyo, kama Shimbo ni mtuhumiwa aliyeficha fedha chafu China ingemkataa na ikumbukwe China ni ya pili kiuchumi duniani na inauwezo mkubwa wa kuchunguza.
 
Hii ndio nchi yetu na huyu ndio Jk urais wake ni wake na familia yake unategemea amchague mtu ambaye hawezi kulinda maslahi ya familia yake thubutu!mtalalama sana usiku mtalala,ee
Mungu tuepushe na hii balaaa.
 
I think what people need to understand is that an ambassador is a personal representative of the president, so he can choose whomever he wants. Secondly, Shimbo before being army chief of staff had worked along side foreign in dealing with disputes in Burundi, DR Congo, Zimbabwe. And at the end of the day, people will never be happy until the president appoints of of their relatives (qualified or not). Anyhow, I believe Gen. Shimbo understands diplomacy and has been of great counsel not only to the presidency in foreign relations but to the ministry of foreign and international cooperation
as well.
 
Mungu wanguuuuu eeeee! ''||Taanzaniaaah tanzaniaaaa ....Nakupenda kwa moyooo woteeeeee! Nchi yanguuuu Tanzaniaaa Jina lako ni tamu sanaaaaaah.....Nilalapooo nakuooota weweeeeee niamkapo ni heri mama weweeee ...tanzania tanzania jina lako ni tamu sanaaaaaaa......
Tanzania tanzania watu wanakutamaaaniiiiiiiii...........mali yako tanzaniaaaa .......wengi wanamezea mateeee!!!
Nilalapo nakuota weweeeeee......Niamkapoooooo..............................?
 

na kampeleka muislam kule....
 
Tutafika tu

Tutafika lkn kwa majeraha yasiyoweza tibika haraka. Wanajesh mpaka kesho wanamlilia alikula hela yao ya ration na hata wale walopelekwa Darfur, Vietnam.......kapiga sana hela za hao wajesh waloenda kulinda aman na hata yale magwanda mapya ya kichina kapiga sana hela huyo jamaa ni balaaa! Mungu atuongoze!
 
JK amemteua mwizi mwenzake ili waka gawane kile walicho iba wote.
Ndio nasema katiba ijayo tupige marufuku viongozi wastaafu kupewa vyeo vvingine baada tu ya kustaafu.
hapa mpango ni JK KUJENGA MTANDAO UTAKAO MLINDA SIKU AKITOKA MADARAKANI.
SHAME UPON YOU JK, RAIS HOVYO KULIKO WOTE TULIO WAHI KUMPATA HAPA TANZANIA, NAOMBA HUKO WATZ WAJIFUNZE KWA RAIS DHAIFU KAMA HUYU WASIJE TUKAMPATA TENA,
LOWASSA AIBU NA DHAMBI YA KUTULETEA KIKWETE KUWA RAIS JMT HAITA KUACHA MILELE SHAME UPON YOU.
 

Ongea na mjesh yeyote muulize kuhusu madhira alowafanyia, na mabilion aliyoficha nje,hujui kama alitaka kufa kwa presha alipoambiwa kuwa akaunt zinaenda kuwa blocked. Mwamunyange alikuwa na wakat mgumu mno,fanya hiyo research fup badae utuletee feedback.
 

habari za kijiweni hizo
 
Hii kali. Juma tena? Kasheshe. Haina shida kwani haiharibu ile acronym ya JMK


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
...Rais Kikwete amemteua mstaafu A. Shimbo kuwa balozi wa Tanzania nchini China.

Source: TBC1 Habari

Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experience. Is it worthy to have Shimbo in China?....

JK ni mdini na mpigaji wa kutupwa so shimbo kaenda china strategically
 
Hii ndio nchi yetu na huyu ndio Jk urais wake ni wake na familia yake unategemea amchague mtu ambaye hawezi kulinda maslahi ya familia yake thubutu!mtalalama sana usiku mtalala,ee
Mungu tuepushe na hii balaaa.

Mkuu hata Mungu katuchoka watanzania!

Kila uchaguzi mnachagua mijitu ile ile licha ya kuwatenda vibaya!
 
kaenda kulinda siri ya ile mikataba coz anaitikadi zote za kijeshi na nidhamu kwa mkuu wa kaya,
 
du hii kali aisee....kwani hizi kazi hawaangalii CV??

wanaangalia mkuu ila urafiki ndio unaangaliwa sana......hivyo kama cv yako imeshiba vizuri lkn sio rafiki wa familia we njoo tusubiri wote huku kitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…