Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

nderingosha

JF-Expert Member
Mar 20, 2011
4,281
3,243
...Rais Kikwete amemteua mstaafu A. Shimbo kuwa balozi wa Tanzania nchini China.

Source: TBC1 Habari

Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experience. Is it worthy to have Shimbo in China?....
 
JK hana aibu hata kidogo. Sijui yuko je. Hivi alishampa MJ.Gen Lupogo cheo toka amtoe TACAIDS?
 
Ndio hivyo kamchagua kule wana dili nyingi kutengeneza makaratasi ya kura ya kufoji,kutumia trilioni 12 walizojipatia kwa pamoja shimbo akiwa jeshini kuwekeza china,kuhakikisha wachina wanapewa nusu ya ardhi ya Tanzania,machimbo yote ya dhahabu nyanda za juu kusini na gesi ,lazima awe mtu wake wa maungoni atakayelinda maslahi ya wachina na kuficha siri atakuwa nanai zaidi ya shimbo bila kumng,oa kikwete miaka miwili na nusu iliyobaki hakutakuwa na kitakachobaki
 
...Rais JK amteua mstaafu A.Shimbo kuwa balozi China...Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experince...is it worthy to have Shimbo in China?....

Kama hii habari ni ya kweli basi kuna kitu kibaya sana kinaendelea hapa nchini. Nguvu iliyotumika kuwanyamazisha watu wa Mtwara na mikataba iliyosainiwa gizani na wachina + tuhuma za awali kuwa Shimbo ni miongoni mwa wachache wenye akaunti za mabilioni nje ya nchi?????????????????????
 
Kuna story ilitolewaga hapa kama Rais wa Airport alipewaga kampany Arusha katika ile safari ya kutoroka Monduli.
Hata ningekuwa mimi, ningembeba tumetoka mbali.
 
Shimbo hafai kabisa kuwa balozi yuko kwenye mitandao ya kimataifa kuwa na fedha zisizothibitika amewadhulumu wanajeshi waliopata vilema wengine kufa waliokwenda kusaidia nje ya nchi
 
...Rais JK amteua mstaafu A.Shimbo kuwa balozi China...Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experience...is it worthy to have Shimbo in China?....

hicho alichokuwa nacho shimbo si kitawatesa sana wachina?kwahiyo mzee marmo amestaafu au amepangiwa kituo kingine?
 
Sioni tatizo hapo.Rais ana Mamlaka ya kumteua Mtu yoyote anayeona anafaa kumwakilisha vema nje ya Nchi.Lazima ateue wale anaowajua na anaowaamini yeye na sio Mtu mwingine.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom