Abdulrahman Shimbo ateuliwa na Rais Kikwete kuwa Balozi wa Tanzania nchini China!

Swali unalotakiwa kujiuliza ni je ni dini gani?then utajua kama ana merits za kuwa china or not
 
Manina wallahi!! nchi hii ukishaingia kwenye system wewe ni kula tu mpaka unakufa, hivi mtu kashastaafu anaenda kutuwakilisha nini huko China? Sensa ya juzi tuna watu millioni 45+ why hawa hawa kila siku? Huyu si ndio ana kashfa za ufisadi?:A S-omg:
 
.... Mungu wangu.... oohh Lord we need ur mercy now... SHIMBO...!!!¿¿¿¿¿¿¡¡¡¡¡¡

.... SHIMBO.... ?????

.... Hv Tz kuna ugonjwa gani...???? this is a big joke & insult to Tanzanians....

.... Aiseeeeee......!!!! nafikri kuna mambo mwanadamu anatenda HADI SHETANI ANASHANGAAA....ANASHANGAA kuwa mjuzi wa mambo kuliko yy....!!!
 
I think what people need to understand is that an ambassador is a personal representative of the president, so he can choose whomever he wants. Secondly, Shimbo before being army chief of staff had worked along side foreign in dealing with disputes in Burundi, DR Congo, Zimbabwe. And at the end of the day, people will never be happy until the president appoints of of their relatives (qualified or not). Anyhow, I believe Gen. Shimbo understands diplomacy and has been of great counsel not only to the presidency in foreign relations but to the ministry of foreign and international cooperation
as well.

the problem is not being personal representative to the HOS...shimbo is so corrupt he mighty sell to other countries all the military arsenals destined to TZ by china
 
Nashangaa watu wanashangaa; walitarajia Kikwete afanye nini au amlipe vipi jinsi Shimbo alivyombeba wakati wa Uchaguzi wa 2010? Kastaafu jeshini mlitaka arudi kulima? Watu wanashangaa kana kwamba alichokifanya ni 'unthinkable'. Kwani Philip Marmo baada ya kukataliwa na wananchi wa Mbulu Kikwete alimuacha akachunge ng'ombe? Kwani Adadi Rajabu alipotoka Upolisi aliachwa akafuge kuku?

Dah!!! Tumekwisha mpaka tuje kukomboka tutakuwa na vidoda mwili mzima.
 
Dah!!! Tumekwisha mpaka tuje kukomboka tutakuwa na vidoda mwili mzima.
This just adds to an endless litany of wonders and the bizzare way our Government is run. How can you appoint a RETIRED army officer, whose life and carrier is replete with dubious and repressive undertakings? This points to only one thing: the appointment is more of a personal and family favour..!! How many experienced and capable ambassadors and diplomats have been recalled home due to retirement? Is Shimbo any better off than these?Fellow Tanzanians, this is an EYE OPENER, on the detrimental effect of letting the Presidency have so much and so wide powers to make appointments. The Katiba for our Dear Tanganyika is coming, let us make sure that we lose not this opportunity to clip the wings of disastrous presidents such as this.
 
Shimbo hafai kabisa kuwa balozi yuko kwenye mitandao ya kimataifa kuwa na fedha zisizothibitika amewadhulumu wanajeshi waliopata vilema wengine kufa waliokwenda kusaidia nje ya nchi

Una uthibitisho au unaropoka angalia unazeeka vibaya we mzee
 
isijekuwa kwa sababu anaitwa ABDULRAHMAN ndiyo sababu ya kumsakama. alikua mnadhimu mkuu wa majeshi. ana uzoefu wa kusoma katika nchi mbalimbali mambo ya kijeshi na diplomasia. ni mwana intelijensia. kwa ushawishi wa china ktk ulimwengu wa leo, shimbo ni chagua sahihi. mambo ya kukosoa kila jambo bila hoja yenye mantiki yamepitwa na wakati.

Mkuu upo sahihi kabisa,anasakamwa sababu ya jina lake lina asili ya uislam
 
Mlitaka hii nafasi apewe nani?

Hope katiba mpya itasema hawa jamaa wapitie bungeni wakathibitishwe.
 
Haaaaaa...!!!
Shimbo??? Kweli hii nchi imekosa muelekeo kabisa. China inahitaji balozi mwenye mtazamo na career ya biashara na/ uchumi/uwekezaji.
Sasa hii habari ya kuteua teua tu watu kwasababu za ushikaji ni dalili za wazi za udhaifu wa kiuongozi.

Hizi sera za kuwawezesha wastaafu na kuwaweka pembeni vijana ndio chanzo cha umasikini kwa tabaka kubwa la vijana huku hawa wastaafu wenye pensheni kubwa wakiendelea kutumbua tu.

Falsafa ya JK ni kuona hawa wazee washikaji zake wanafaidi maisha yao, maisha ya watoto wetu na maisha ya wajukuu wetu!

Ametizama bavicha na m4c yote hajaona mwenye akili zaidi ya Kamanda wa ukweli ABDULRAHMAN SHIMBO
 
Humu kuna watu kila kifanywacho na mamlaka ya Rais lazima walalamike ptuuuu!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Ni kweli, kwani pia humu humu kuna watu kila kifanywacho na mamlaka ya Rais lazima wasifie tu! ptuuuu!!
 
nyie watu bila Kiburi cha bwana Mkubwa na Kujidai haujui utapiamlo wa nidhamu ya Shimbo hamtajua ubovu wa chama cha ccm na makuli wao wa siasa mdebwedo.
haya lazima yatokee ili mpate hasira za kuwang'oa madarakani kisha kuwafungulia mashitaka mabeberu na wanyonyaji wasio na syra za haya hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom