wanaangalia mkuu ila urafiki ndio unaangaliwa sana......hivyo kama cv yako imeshiba vizuri lkn sio rafiki wa familia we njoo tusubiri wote huku kitaani.
da aisee kaaaazi kweli kweli aisee....
wanaangalia mkuu ila urafiki ndio unaangaliwa sana......hivyo kama cv yako imeshiba vizuri lkn sio rafiki wa familia we njoo tusubiri wote huku kitaani.
Haya kijana wa buku 7, sasa hebu orodhesha hizo sifa za huyo fisadi wenu zilizopelekea apewe hiyo nafasi na sio kutoa povu tu hapa!Acha chuki zako ww yule anasifa zinazohitajika kwa nafasi aliyopewa na sehemu husika
Kama unajua si unambie tu?!
jizi hilo shimbo ndo limekuwa libalozi...nitahama hii nchi muda si mwingi,bora nikaishi syria au afghanstan kuliko ktk linchi hili...am tired now...aaaghhhhhhhhhhhhhh
Sioni tatizo hapo.Rais ana Mamlaka ya kumteua Mtu yoyote anayeona anafaa kumwakilisha vema nje ya Nchi.Lazima ateue wale anaowajua na anaowaamini yeye na sio Mtu mwingine.
Acheni kuleta hoja nyepesi humu, mnajua kwamba China na Tanzania kwa sasa zimeanza mipango ya kistrategia kijeshi bali na mipango mingine ya uchumi. Kwa hiyo sioni tatizo Shimbo kwenda kwa sababu pia uteuzi wa Balozi nchi mwenyeji ni lazima pia Ifanye vetting na kwa hiyo, kama Shimbo ni mtuhumiwa aliyeficha fedha chafu China ingemkataa na ikumbukwe China ni ya pili kiuchumi duniani na inauwezo mkubwa wa kuchunguza.
waislamu huwa hawanaga aibu ..ni watu wa ajabu sana
mleta hoja tusaidie chanzo cha taarifa yako.
Congrats Mr General (Ret)
...Rais Kikwete amemteua mstaafu A. Shimbo kuwa balozi wa Tanzania nchini China.
Source: TBC1 Habari
Hivi hii teuzi ina merit kweli?....hivi hata tukiongelea diplomatic experience. Is it worthy to have Shimbo in China?....[/QUOTE]
It is not worthy to have him anywhere apart from his HOME (wherever it is)!!!!! Akale kiinua mgongo chake na kufurahia ustaafu wake huko kwao!!! Huu ubalozi sasa umekuwa kama kitengo cha kusaidia wastaafu na waliokosa ubunge!!!! Yaani kwa sasa ubalozi; ukuu wa wilaya na mkoa, unatolewa kama kadi ya CHRISTMAS.....Kama unajulikana kwa MKUU na AKAKUONEA HURUMA=Cheo umekipata!!!!
Nderingosha, hiyo habari umeipata wapi?