Abdulrahman Kinana: Who is he?

Nilikuwa nawaza siku nyingi, hili wimbi la mageuzi ndani ya chama tawala zitaisha kweli bila kutajwa jina hili KINANA? kwa hakika hisia zangu hazikuwa bure. Vuteni subira, ili mradi mmeuliza Kinana ni nani, mtajuzwa mengi na yakushangaza! Napita tu hapa.

Hili suala la Kinana liwe fundisho kwa Tanzania, kama kweli si raia na alikuwa Waziri wa Ulinzi ni hatari. Ingetokea Tanzania ikahitirafiana na nchi yake ya asili halafu tukafikia hatua ya kupigana vita ingekuwaje? Angetuuza tu kama aliyekuwa Balozi wa Marekani anayesema rais alizibwa mdomo kwa suti. Watu wanaokasimiwa madaraka makubwa ya Tanzania wapekuliwe vizuri kwa sababu tunaweza kuweka makachero wa nje kuwa mawaziri na kwa sababu wamekaa serikalini kwa muda mrefu na kuweka mizizi kwenye vyama tukajikuta mtu amekuwa rais na matokeo yake ni kuizamisha nchi.

Kinana ni msomali amezaliwa AR kabla ya uhuru wa Tanganyika,baba yake na mama yake ni wasomali wanaojua huko kwao somalia na ndugu zao wapo somalia na mawasiliano yalikuwepo kabla ya uhuru,baada ya uhuru yeyote aliyekutwa humu nchini ambaye alikuwa na zaidi ya miaka 18 alikuwa mtanganyika sawia hakustahili kuomba uraia ila kinana wakati huo hakuwa na miaka 18 na alistahili kuomba uraia baada ya kutimiza miaka 18 jambo ambalo hakulifanya mpaka aliposhituliwa na Mrema wakati huo tayari alishapewa nyazifa nyingi humu nchini.na ikabidi aombe uraia kabla ya mambo kuharibika jambo hilo ndiyo lililomfanya asigombee ubunge AR pamoja na kuombwa sana mwenyewe alikataa baada ya kuona wangempaka na kumshushia hadhi.kumbuka kina jenerali ulimwengu walivyofanyiwa na wengine wengi hata mwenyekiti wa ccm kagera wakati huo jina silikumbuki,kiana kenya hasan alikuwa katibu mkuu na wengineo wengi kinana alifanya jambo hilo siri ili asiumbuliwe alikuwa muungwana,hata leo hii bado ana mawasiliano na ndugu zake huko somalia ingawa yeye ni mtanzania kwa kujiandikisha na siyo kuzaliwa

kumbe jamaa njema upstairs hadi kasoma harvad.! Lakini kwanin haisaidii ccm yake??

kumbe jamaa njema upstairs hadi kasoma harvad.! Lakini kwanin haisaidii ccm yake??

Hata Dr Kafumu yuko njema sana upstairs apparently kuwa njema upstairs currently is not directly propotional to perfomance

Ajivune kwa sababu ya ka- masters,you are joking.

wa jf mmezidi na chuki !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kinana namfahamu sana ni mzee clean hana mambo ya ufisadi hata kidogo ni mtu wa kutegemewa ndani ya CCM kwa ushauri na mambo mengi tu hata ya usalama wa nchi sula la uraia halina mashiiko ni mtanzania halisi mwenye asili ya Kisomali.Kuwa Mtanzania si lazima uwe Mbantu ila ni kuipenda nchi na kutanguliza maslahi yake mbele

Maswali ya kitoto. Kwani yeye Kinana haruhusiwi kufahamiana na wawekezaji wa nje? What if yeye ana hisa katika Kilimanjaro Hotel. Acheni uchimbi usio na sababu!

tibwili nadhani kinana yuko dar ni kigogo anakula kwa mrija na ccm wanamwita thinker tank wao

kweli kwa upande wa magamba jamaa ni kichwa aisee,ana ufahamu wa mambo mengi sana,zamani nilikua namdharau lakini nilipata kukaa nae karibu kipindi cha uchaguzi uliopita mara mbili tatu,kiukweli ccm ni anawasaidia sana....ndio maana nafasi hiyo ya u director ni kama imekuwa ya kudumu kwako tena huwa wanambembeleza,hii last time kutokana na vurugu za kina lowassa hakutaka kushiriki jk akaenda kumpigia magoti,najua watu wataponda lakini jamaa watu wengi hawamuelewi sawasawa!ana msimamo n hamuogopi mtu yeyote huko ccm na huwa anawaeleza ukweli hata kwenye vikao vya kamati kuu,kuna mtu anajuana na mjumbe yeyote wa huko amuulize misimamo ya kinana ndani ya kamati kuu!hata kipindi cha kampeni za uchaguzi uliopita kinana alimshauri sana aachane na lowassa na rostam,haina haja ya yeye jk kwenda kujichora kwa kuwapigia kampeni hao jamaa kwenye majimbo yao kwani hata asipoenda watashinda na kama ni lazima kwenda bora amtume mgombea mwenza mh.bilal huko!jk kwa ubishi akang'ang'ania kwenda!

Ni kweli kinana ni msomali lakini ni msomali wa tanzania,kuna wasomali wa kenya wapo wasomali wa somalia,wapo wasomali wa djibout na pia wapo wa hapa..

Kumbe hata hao uhamiaji wanashughulikia watu ambao si si-siem pekeyake, lakini km ni si-siem wao wanaruhusiwa kuvunja sheria. Sasa hii ndo mbaya kuliko zote, yaani kwa vile ni si-siem basi basi makosa yako hayaonekani. Lakini wewe si ndo umesema unajua mpaka hospitali aliyozaliwa, kwani wakati akizaliwa ulikuwepo? na kama wazazi wake ni wa-tz kwanini kuwa na hofu? Elewa kuwa ukweli hujisimamia wenyewe!

Huyu Kinana ni Msomali ambaye tumefichwa kuambiwa aliingaje Tanzania na kupewe madaraka mbalimbali ingawa inajulikana kabisa kuwa si mtanzania. Jamaa aliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha!

mbunge wa Arusha not mkuu wa mkoa

OOh ndiyo maana Red Cross ni moja ya asasi zinazonuka ufisadi. Kumbe Chairman ni Think Tank wa magamba, katibu Mkuu ni yule aliyekuwa akigawa rushwa kweupee kule Dodoma mwaka uliopita! na sijui Mlezi ni ?Mkapa au hata Kikwete. Tusitegemee kitu hapo ni wizi na ujambazi kwa kwenda mbele.

Kinana kazaliwa 1951 na tulipata uhuru 1961 hiyo miaka 18 umeipata wapi?

Huyu ni mwizi anayeweka pesa za vigogo wa CCM na kuwafundisha namna ya kusema uongo ili waendelee kula nchi. Akichukua nchi hii magufuri aah ni Sita aaaaah nimekosea Lembeli aaaaaaah ni Filikunjombe aaaaaaaaah wamekwisha

Siku zote nilikuwa najiuliza sana kwa nini huyu jamaa anaheshimika sana ndani ya ccm na serikali, sasa nimepata mwanga kidogo, l

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…