Abdullah Mrisho, mchezaji wa Simba miaka ya 70

Abdullah Mrisho, mchezaji wa Simba miaka ya 70

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,818
Mnamkumbuka Abullah Mrisho aliyechezea timu ya Simba Ssports mwaka 1977 hadi 1979?

Alizaliwa mwaka 1954 mkoa wa Morogoro, Kilosa. Haya ndiyo maisha yake anayoishi na hapo ndipo nyumbani kwake. Mvua ikinyesha ni balaa, jua nalo inakuwa hivyo hivyo.

Wanasimba chukueni huu kama mfano na mjiandae maisha ya baadae.

attachment.php



attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • JF_Abdallah Mrisho_02.jpg
    JF_Abdallah Mrisho_02.jpg
    95.8 KB · Views: 8,620
  • JF_Abdallah Mrisho_03.jpg
    JF_Abdallah Mrisho_03.jpg
    97.6 KB · Views: 7,404
  • JF_Abdallah Mrisho_01.jpg
    JF_Abdallah Mrisho_01.jpg
    94.5 KB · Views: 7,314
Fainali uzeeni! Jipange ukingali bado una nguvu, sasa wewe sema eti bado unakula ujana....
 
Pole zao yeye na wengine wengi waliokumbwa na hali hiyo.

Tuliobaki tupate somo hapo kutafakari hatima uzeeni na kuchukua hatua ziwezekanazo bila kuchelewa.
 
Hapo kinachokuwa kimebakia no simulizi tu. Enzi hizo nikicheza center half Simba tulienda Cairo, wapi wapi! Ingawa kwa zamani mpira ilikuwa kama leisure flani hivi. Kwa sasa hivi kula bata inaharibu wengi sana.

Unapoanza kazi ndo muda muafaka wa kuplani kustaafu.
 
Maisha yaacheni tu, ukimtazama mzee utadhani ana miaka 80 kumbe miaka 60 tu.
 
Du! Maisha bora uanze kwa ugumu umalize vizuri

Hata ukianza magumu ukamalizia magumu nayo sio mbaya pia tatizo uanze ya kula bata alafu ukamalizia shida yaani usipokubali matokeo utazidi kuchoka mwili mpaka akili
 
Hii ni aibu kwa klabu kubwa naaarufu kama Simba.
Si Simba pekee hata Yanga zimeshindwa kabisa
Kufuatilia ustawi wa wachezaji wao wa zamani!
Aibu tupu!
 
uzeeni kama hukujipanga pachungu usiombe.Vijana copy mfano huo na u-paste
 
Back
Top Bottom