Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

Abdul Nondo amewapiga "KO" maofisa Uhamiaji

Ila inawezekana mimi uelewa wangu ni mdogo, Je kuwa raia wa nchi fulani ni lazima babu na bibi yako wawe raia wa nchi hiyo??? mfano nikizaliwa tu na baba mtanzania je sipaswi kuwa mtanzania????

Tu-assume tu kuwa hata kama mababu wa Nondo hawakuwa watanzania je inahusiana nn na Nondo mwenyewe???
Kama babu na bibi haiusiani kwanini Uhamiaji wanataka vyeti vyao vya kuzaliwa?
 
Uamiaji walivyo washamba baada ya kutolewa Knock Out, sasa hivi watamwita Sheikh Khamis Hababi athibitishe uraia wake.
 
Hii operation immigration waanze na staff wao kwanza, Hii demand kwa nondo inawatia dosari.

Awamu ya kutoa order tu.
 
Nadhani sasa ni wakati muafaka tumjue yule raia namba moja cheti chake cha kuzaliwa kipo wapi, cheti cha mama yake mzazi, baba yake mzazi na pia babu yake na bibi yake wa pande zote mbili vyeti vyake vya kuzaliwa aisee hapo tutajua kwamba tupo na Mhutu au tupo na Mtanzania mwenzetu
 
Kimachonichekeshaga sana kwenye hili sakata la Nondo na uhamiaji. Ni ile wanatala vyeti vya kuzaliwa vya babu'z na bibi'z wakati hata walio under 20 wengi tu hawana vyeti. Nadhani movement ya ukombozi wa kifikra unahitajika sana. Anyway Pole sana bwana Nondo. Jipe moyo. Watanzania tupo pamoja na wewe.
 
Uyo aliemwambia alete vyeti ukimfatilia vizuri utakuta yeye ndio sio laiya
 
Jamani, uhamiaji wanataka vyeti vya ukoo wote huo ndiyo utaratibu kwa wale wanaojiteka hao wote uliowataja hawahusiki, alete vyeti ili na wakusanya kodi nao wamhoji na mafao pia.
 
Kwani yeye aliagizwa apeleke historia ya TANU au vyeti ?
Wewe babu yako ana vyeti? Tukiacha mambo mengine yanayoonesha wewe kuwa ni mvivu wa kufikiri.
Ngoja nikusaidie kidogo. Uhamiaji wanapomhisi mtu kuwa si raia, esp mtu ambaye tayari yupo kwenye piblic eyes hawatakiwi kichwa kichwa tu kusema " aya leta vyeti vya babu zako" wanatakiwa kujaribu tu kujiongeza... hata kifuatilia tu history ya ukoo wake (overview tu). Ona sasa wanavyoaibika kumbe hao wanaowatafuta kihistoria hata babu zao huenda hawana history kama ya babu yake Nondo
 
Kihistoria wakazi wengi wa Tanzania tunatokea kwenye jamii zilizo nje ya Tanzania ya leo.

Kumbe mnafahamu. Sasa mbona mnapenda kuwabagua na kuwabughudhi wa Tanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu na kuwaona kama wao hawana haki mana sikwao ni wahamiaji tu.
 
Nyambeya, HIVI KOCHA MAXIMO NI MTANZANIA KWA SABABU TU ALIFUNDISHA TAIFA STARS?
Acha ujinga basi. Kwamba wewe brain yako ni zero kabisa? Japo hata kuconnect visible dots ni shida?
 
Kumbe mnafahamu. Sasa mbona mnapenda kuwabagua na kuwabughudhi wa Tanzania wenye asili ya Kihindi na Kiarabu na kuwaona kama wao hawana haki mana sikwao ni wahamiaji tu.
Waulize wenye tabia hiyo
 
Back
Top Bottom