Mamasunday
Member
- Apr 5, 2018
- 39
- 34
Ni ujinga na wajinga tu ndio watakubaliana na ujinga waoSasa cheti anapewaga mjukuu au babu na bibi na kama babu na bibi ndio waliopewa kama kweli vilikuwa vinatolewa kipindi hiko je kuna sheria ya kwamba kabla hajafa avikabidhi kwa mjukuu???