Jackal
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 9,560
- 12,686
Pia bila kusahau thamani ya shs dhidi ya dola ilikuwa kiasi gani enzi hizo?Kama sikosei kipindi cha Mkapa dola moja ilikuwa shs 250!Hii nondo ya Abdu Nondo imeshiba mno
Kwa hesabu za kujumlisha na kutoa za Kafulila anaweza kudai kuwa Makusanyo ya Miaka mitano ya serikali ya Mzee Mwinyi yanazidiwa na Makusanyo ya mwaka mmoja tu wa Magufuli bila kuzingatia idadi ya watu, mchango wa tekinohama katika makusanyo, miundo mbinu uliyowekewa na waliokutangulia na kuchukua pesa za halmashauri kama vile mabango, majengo, huduma mbalimbali na kuziingiza kwenye fuko la TRA kama alivuofanya Magufuli badala ya kuziacha huko kwenye halmashauri husika