Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,428
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya akiwa katika ziara na Katibu Mkuu wa CCM, Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema kuwa watu wanapofanya maamuzi ya kukiunga Mkono CCM hawaangalii ukubwa wa sauti isipokuwa wanaangalia hoja ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ➕ Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Abdul Kambaya amewataka Watanzania kutofikiria kujiunga na vyama vingine hapa nchini tofauti na CCM kwani ndicho chama pekee chenye uimara wa kuongoza nchi.
“Uongozi huwa ni hekima na busara, sioni uwezo wa kisheria wala kinguvu wa kusimamisha uchaguzi mkuu wa mwaka huu,” - Abdul Kambaya, Kada wa CCM akizungumza katika mahojiano baada ya kumalizika kwa Mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi wilayani Nyasa, Mkoa wa Ruvuma.

Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanzania yenye kasi zaidi ya maendeleo.