SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,855
- 8,248
Wakisha 😂watumia wanaenda kuwaita "masikini"😂😂😂😁😌🤨😡
Inasikitisha SanaWakisha 😂watumia wanaenda kuwaita "masikini"😂😂😂😁😌🤨😡
Katiba yao inasema chadema ni kikoba atakayeleta mpunga hauwachwi rejea lowassa na sumaye bwashee!CHADEMA ni vema iwe makini inaposajili wanachama wapya.
Kwa mfano Mh. Kambaya kaja na watu wake 600 sasa hao wataitii CHADEMA au Mh. Kambaya?
Pili, unasajili wanachama wapya na kuwapa Vyeo wakati akina Yericko wanasota tu kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi unadhani watawafurahia?
Halafu huu utaratibu wa kusajili vikundi umeanza lini na kwa sheria gani?
Mungu awabariki CHADEMA!
Chongolo ndiye kamtuma kwenda kujaribu kuingia chumbani kaishia sebuleni kapewa maji ya kunywa kisha kaonyeshwa mlango wa kutokeaInasikitisha Sana
Kambaya anazurura na kikundi chake kufanya Sanaa sasa ataenda kumtapeli Zitto
Ila kwa Chongollo hatathubutu!
Kaondoka kama alivyoingia. Ujinga siyo kazi rahisi kuubeba. Big up kiongoziAlipokelewa kwa mbwembwe na mbowe
Kama CCM waliwahi kutuletea Rais kama Jiwe na wewe bado unabinuka kukisifu hicho chama basi jua tatizo linaanzia kwakoSiku chache tu Bw.Kambaya na wenzake walikimbia CUF na kwenda Chadema wakidai ndio chama chenye uhakika wa kushika dola, akapita mikoa yote ya pwani kuisema vby serikali ya CCM, wengine tunaojua siasa tukawa tunamcheka tu, Leo amerudi tena kwa waandishi wa habari na kutangaza kuihama CCM.
Ujumbe wangu kwa Kambaya ni huu.
1. Nchi hii vyama vya siasa ukiondoa CCM ni biashara
2.CCM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania, hatukatai kina mapungufu yake lakini yanatatulika.
3.Huwezi kuwa kambale mbele ya Sugu, Lema, Msigwa, Lissu, Heche na Wenje, hao akili zao wote ni ubunge tu ili maisha yaende mbele.Kutukana kote serikali wanataka kwenda bungeni kutanua.
4.Kambaya achana na siasa, mwacheni mama apige kazi na atimize malengo yake.
5.Wenzako akina Katani waliyaona haya wakarudi CCM mapema, sasa wanapambana wakiwa ndani ya chama.
6.Utahangaika vyama vyote lkn unapoteza muda wako.
7.Kama chama cha siasa kilichokuwa cha ukweli na kilibeba matumaini ya watu kilikuwa ni NCCR Mageuzi ya marehemu prof Abdulrhaman Babu.Kiko wap sasa hivi.
8.Narudia tena, hakuna chama wala mwanasiasa wa upinzani mwenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko hapa nchini zaidi ya CCM.Hakuna, hakuna, hakuna.
So umeona kumbe chama hakihitaji mtu style yake, aende akaanzishe chama chake kama ZitoKambaya alijiunga Chadema baada ya kusikia kuwa jamaa sasa hivi walishaanza kupokea ruzuku.
Sasa alipofika huko akakuta mwenyekiti ashachagua genge lake la kutafuna nao ruzuku za chama, huku Kambaya akiwa nje ya list.
Baada ya kuona hivyo kijana akaamua kuchukua maamuzi ya kujitoa.
Kama Watanzania walivumilia udikteta wa Jiwe pamoja na uovu wake sembuse chamaAvumilie udikteta?
Nani aliwahi kuiba ruzuki huko Chadema?Watu wanaiba ruzuku kama fisi.mstaarabu huwezi kaa chadema..labda awe mnafiki
Jiuwe mkuu kama imekuuma sanaInauma sana
Sasa si waanzishe chama chao kama ZittoWamewaachia udikteta wenu
Kwani lazima kila mtu kujiunga CDM? Kama hukipendi chama kaa pembeni tu hakuna wa kuja kukulazimishaCHADEMA ni chama cha mtu na familia yake....
Hahojiki..
Kambaya njoo CCM....tukutane huku Mandi nikupe kadi....
Wanafisiemu wanaumia sana kuliko hata WanachademaAtabaki Mbowe na yule dada mnyakyusa RBC Erthyrocyte
Kwanini Chadema inaogopwa sana na fisiemu?Katiba yao inasema chadema ni kikoba atakayeleta mpunga hauwachwi rejea lowassa na sumaye bwashee!
Kuanzisha chama sio kazi, kazi ni kuwapata wanachama wa kuanzisha hicho chama.So umeona kumbe chama hakihitaji mtu style yake, aende akaanzishe chama chake kama Zito
Hana hadhi hiyo...."Mwendawazimu wa Kisiasa"...ndiyo hadhi yakeMalaya wa kisiasa
hahaahaa appreciatedHana hadhi hiyo...."Mwendawazimu wa Kisiasa"...ndiyo hadhi yake
Ni AbdulKambaya ni nani ?nazani asilimia 90 ya watu hawamjui