Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Huyu kuna alichokifuata Chadema baada ya kuona dalili za kukikosa ameamua kukimbia mapema.
 
Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho...

Asijaribu kuja CCM labda akidhania atapata uongozi, CCM vigeugeu hatuwataki, ila akija kama mwanachama wa kawaida karibu.

Na nyie CHADEMA mkome mnapokea takataka za kisiasa sana.
 
Aliyekuwa kiongozi maarufu wa CUF na kisha mwezi wa tatu kujivua nyasifa zote ndani ya chama hicho na kukimbilia Chadema bwana Maulidi Kambaya...
CHADEMA ni chama cha mtu na familia yake....

Hahojiki..

Kambaya njoo CCM....tukutane huku Mandi nikupe kadi....
 
Mpe pole, amekuja kujua leo? Ni chama kizuri bila kukaribiana nacho,ukae kama shabiki.
Ukiwa na akili timamu na una uwezo wa kufanya critical path analysis huwezi kukaa Chadema the next minutes.

Tumia uwezo kidogo tuu, ubora wa kufikiri wa waliokuwa Chadema na wakaodoka, fananishana na walio baki, utapata jibu elekezi.
 
Aliyekuwa kiongozi maarufu wa CUF na kisha mwezi wa tatu kujivua nyasifa zote ndani ya chama hicho na kukimbilia Chadema bwana Maulidi Kambaya leo tarehe 3 may ametangaza kuachana na chama hicho huku akisema ndani ya Chadema mwenyekiti ni kama mungu mtu asiyetakiwa kuhojiwa chochote hali inayopelekea chama kuwa na udikteta mkubwa usioruhusu mawazo mapya ndani ya chama.

Atabaki Mbowe na yule dada mnyakyusa RBC Erthyrocyte
 
Siku chache tu Bw.Kambaya na wenzake walikimbia CUF na kwenda Chadema wakidai ndio chama chenye uhakika wa kushika dola, akapita mikoa yote ya pwani kuisema vby serikali ya CCM, wengine tunaojua siasa tukawa tunamcheka tu, Leo amerudi tena kwa waandishi wa habari na kutangaza kuihama CCM.

Ujumbe wangu kwa Kambaya ni huu.

1. Nchi hii vyama vya siasa ukiondoa CCM ni biashara
2.CCM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania, hatukatai kina mapungufu yake lakini yanatatulika.
3.Huwezi kuwa kambale mbele ya Sugu, Lema, Msigwa, Lissu, Heche na Wenje, hao akili zao wote ni ubunge tu ili maisha yaende mbele.Kutukana kote serikali wanataka kwenda bungeni kutanua.
4.Kambaya achana na siasa, mwacheni mama apige kazi na atimize malengo yake.
5.Wenzako akina Katani waliyaona haya wakarudi CCM mapema, sasa wanapambana wakiwa ndani ya chama.
6.Utahangaika vyama vyote lkn unapoteza muda wako.
7.Kama chama cha siasa kilichokuwa cha ukweli na kilibeba matumaini ya watu kilikuwa ni NCCR Mageuzi ya marehemu prof Abdulrhaman Babu.Kiko wap sasa hivi.
8.Narudia tena, hakuna chama wala mwanasiasa wa upinzani mwenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko hapa nchini zaidi ya CCM.Hakuna, hakuna, hakuna.
Ndio umeona CCM ni chama.
Cha Mambuzi.
 
Back
Top Bottom