johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,968
- 141,980
Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho
Mh Kambaya anesema kwa sasa anabaki kuwa raia Huru.
---
Abdul Kambaya
ABDUL Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Ametangaza uamuzi huo hii leo tarehe 3 Mei 2023, jijini Dar es Salaam.
"Ninaondoka Chadema na sitojiunga na chama chochote. Kwa sasa mimi ni mwanasiasa huru,” ameeleza.
“HILi sio jambo jipya, kujiunga katika chama na kisha kuondoka. Kama Lowassa na Sumaye walijiunga na Chadema na wakatoka, siwezi sema kuna changamoto hasi zilizofanya kuchukua hatua hii ya kutangaza kujitoa Chadema. Sijitoi Chadema kwenda chama kingine cha siasa,” Abdul Kambaya.
Source Mwanahalisi Digital