Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Abdul Kambaya ajiondoa CHADEMA

Kambaya alijiunga Chadema baada ya kusikia kuwa jamaa sasa hivi walishaanza kupokea ruzuku.

Sasa alipofika huko akakuta mwenyekiti ashachagua genge lake la kutafuna nao ruzuku za chama, huku Kambaya akiwa nje ya list.

Baada ya kuona hivyo kijana akaamua kuchukua maamuzi ya kujitoa.
 
Chadema hawajampa hela walizomuahidi wakati wanamnunua?
 
Chadema hawajampa hela walizomuahidi wakati wanamnunua?
 
Aliyekuwa kiongozi maarufu wa CUF na kisha mwezi wa tatu kujivua nyasifa zote ndani ya chama hicho na kukimbilia Chadema bwana Maulidi Kambaya leo tarehe 3 may ametangaza kuachana na chama hicho huku akisema ndani ya Chadema mwenyekiti ni kama mungu mtu asiyetakiwa kuhojiwa chochote hali inayopelekea chama kuwa na udikteta mkubwa usioruhusu mawazo mapya ndani ya chama.

 
Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho

Mh Kambaya anesema kwa sasa anabaki kuwa raia Huru...
Hatukuwahi kumkubali Kambaya kamwe.
 
Kijana amefeli alichokifuata, atulie!

Alifikiri akifika tu CDM mojakwamoja watamuonjesha Asali itokayo kwa Mama?
 
Mpe pole, amekuja kujua leo? Ni chama kizuri bila kukaribiana nacho,ukae kama shabiki.

Ukiwa na akili timamu na una uwezo wa kufanya critical path analysis huwezi kukaa Chadema the next minutes.

Tumia uwezo kidogo tuu, ubora wa kufikiri wa waliokuwa Chadema na wakaodoka, fananishana na walio baki, utapata jibu elekezi.
 
Back
Top Bottom