Kwakuwa upo mbali na walopokea huwezi jua ila waliopokea wanaujua ukweli!ukiulizwa huyo lowassa na sumay walipeleka shilingi ngapi chadema na ni tarehe ngapi utabaki kupuyanga puyanga kama umekalia gogo hata jibu huna.
Mwanasiasa nguli?!
.CCM ndio mkombozi wa kweli wa watanzania, hatukatai kina mapungufu yake lakini yanatatulika.
Hahaha...Huyu Ndio kwanza namsikia leo, sasa unguli wake wa siasa anaufanyia wapi? Msoga?
Sijawahi kusikia mrepublican akihamia democrat au mdemocrat akihamia republican huko USA 🇺🇸. Na pia 🇬🇧 UK sijasikia na huko India ndio kabisaa !! Sijui ni kwanini !Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho
Mh Kambaya anesema kwa sasa anabaki kuwa raia Huru.
---
ABDUL Kambaya ametangaza kujiondoa rasmi kwenye Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Ametangaza uamuzi huo hii leo tarehe 3 Mei 2023, jijini Dar es Salaam.
"Ninaondoka Chadema na sitojiunga na chama chochote. Kwa sasa mimi ni mwanasiasa huru,” ameeleza.
“HILi sio jambo jipya, kujiunga katika chama na kisha kuondoka. Kama Lowassa na Sumaye walijiunga na Chadema na wakatoka, siwezi sema kuna changamoto hasi zilizofanya kuchukua hatua hii ya kutangaza kujitoa Chadema. Sijitoi Chadema kwenda chama kingine cha siasa,” Abdul Kambaya.
Source Mwanahalisi Digital
Siasa siyo UaduiBora anyamaze tu
Umeshapanic 😂😂😂Aati naye anaitwa muheshimiwa kambaya
Mpuuzi huyu
##Mwanasiasa nguli mh Kambaya aliyejiunga Chadema hivi karibuni amejivua Uanachama na kuachana kabisa na chama hicho