Abdallah: Naamka kwenye kifusi, naenda shuleni

Abdallah: Naamka kwenye kifusi, naenda shuleni

God will never bless such a government & country; They don't have even a piece of compassion & sympathy to these innocent children!? Halafu kiongozi anakuja na kusema, hawana mpango wa kuwatafutia sehemu! What about this kids?!

And the most astonishing thing, "God always listens to the cries of those oppressed." So, whatever they are cursing this country with their painful situation, "He will do it." Kumbukeni nini kilitokea Tanzania pale albino na vikongwe walipompazia sauti Mungu, kwa sababu Yeye huwa hapendi kabisa the shedding of innocent blood.
Blaaaaah Blaaaaah Blaaaaaah.....m#%$€&@
 
HIVIbomoa bomoa ndio kipaumbele cha serikali hii ya awamu ya tano? na pili je bomoa bomoa ndio kero kubwa ya watanzania wanayotaka ifanyiwe kazi na serikali na mwisho je bomoa bomoa ndio itafanya maisha ya watanzania kuwa mazuri zaidi ya ilivokuwa hapo awali?
 
Ninavyoelewa mafuriko hutokana na kukwama kwa maji eneo fulani yaani ule mkondo wa maji inayosafirisha maji huzidiwa hali inayopelekea maji kukosa mahali pa kwenda na kutuama, Ili mafuriko yasitokee miundombinu ya kuelekeza maji pa kwenda ilibidi ijengwe ili maji yasafiri kirahisi bila kutuama baada ya kuwabomolea wanyonge nyumba zao na kama serikali inawajali ilipaswa iwasitiri sasa unambomelea mtu nyumba unamuacha anaishi kwenye hema hapo hapo unakuwa umesaidia nini?
 
  • Thanks
Reactions: BDN
Mungu alivyo wa ajabu watoto wa aina hii mara nyingi wanakuja kuwa na mafanikio makubwa ,Mungu awasimamie
fikiria atakuwa na hasira kiasi gani ikiwa siku moja atakuja kuwa bosi wa mtoto wa JPM
 
Sawa mwerevu huyakukuta wala hujaona jamaa zako wakipata mtihani huo lkn yangekukuta usingeandika hayo issue hapa kwenye ubomoaji no ubinaadam ndio unaotakiwa si kingine
Mbona ni juzi tu helikopta zilitumika kuokoa watu humo mabondeni? Tusiwe wasahaulifu, mvua kubwa zinakuja.
 
fikiria atakuwa na hasira kiasi gani ikiwa siku moja atakuja kuwa bosi wa mtoto wa JPM
Mungu ametupa kusahau mkuu na ndio maana tunaweza kuishi maisha marefu ,vinginevyo tusingekua tunasahau mambo binadamu maisha yake yangekua kama ya nzi tu ,siku saba chali
 
Soma kwa bidii Abadallah, Mungu akusaidie mazingira magumu yanayokukabili yanaweza kukufanya kesho ujali utu wa wenzako.
 
Awamu ya Tano ni kufuata Utawala wa Sheria na Kanuni hamna jinsi. Tulizoea kuishi kwa mazoea na kuidharau serikali.
Huyo Abdallah yakija mafuriko hapo na kuisomba familia yake yote nani atakuwa responsible hapo!!???
Tuwe tunafikiria kwa kina kabla ya kuandika upuuzi. Kuna watoto wa ngapi wanaishi maisha ya dhiki kuliko huyo Abdallah Tanzania hii!!!????? Mnaleta siasa za Maji taka kwenye mambo ya kimsingi. Mbona kuna watu/ familia zimebomolewa hapo na wahehamia sehemu nyingine salama na kuanza maisha mapya. Kwa nini hamuendi kuwatafuta hao muwahoji!!!?????
Zoezi la BOMOA BOMOA litaendelea kwa mujibu wa SHERIA NA KANUNI ZA MIPANGO MIJI NA MATUMIZI BORA YA ARDHI.
hatuzungumzii mafuriko hapa tunazungumzia kwamba nyumba ishavunjwa kwa mujibu wa sheria watoto waende wapi?hiyo ndio pointi sasa washavunjiwa kama serikali fanyeni basi msaada wa kiutu wakomboeni watoto basi.mtoto bado anaamkia kwenye kifusi,inamaana mafuriko yakija yatamwacha kwa sababu nyumba yao ishavunjwa.huoni wakifa ghafla usiku baada ya mafuriko kuwasomba habari itakuwa mbaya zaidi.kwanza ni lini serikali iliwahi kufuata sheria.mtaishia kuoneana tu .Na nyie geti kali ndio mtakuwa mnapayupayuka kama hivi,mna shida gani wakati freezer zimejaa nyama za bata mzinga na kila aina ya kitoweo kinachotumika na wana wa adamu.utu utu utu utu utu utu tunaupigania utu wa kibinaadamu
 
Sijui nani katuroga Watanzania wallahi.!!!!
Hao watu walishataadharishwa na kupewa notisi miaka mingi si ajabu hata Huyo Abdallah hajazaliwa. Na isitoshe asilimia kubwa ya hao wakazi wa mabondeni serikali ya awamu ya 4 iliwafidia kwa kuwapa viwanja sehemu salama na vifaa vya ujenzi. Kwa ujuaji wa kukaa mabondeni wakauza maeneo na vifaa huku wakiendelea kuishi sehemu hatarishi.

Awamu ya 5 inafuata kanuni na sheria za nchi. Hao wavamizi wa bonde la Msimbazi hawatakiwi kuwepo hapo. Hakuna kubembelezana tena. Kubembelezana ndio kumetufikisha hapa mpaka mkadiriki kumuita Mh. Rais wa awamu ya 4 Dhaifu. Well, not this time my friend. Watanzania inabidi Tujifunze kuishi kwa kufuata na kutii Sheria na Kanuni za . Otherwise itakuwa chaos kila mtu akijiamulia la kufanya. Maamuzi ya kipuuzi Fanya nyumbani Kwako tena ukiwa ndani na mkeo na watoto wako.
 
Sijui nani katuroga Watanzania wallahi.!!!!
Hao watu walishataadharishwa na kupewa notisi miaka mingi si ajabu hata Huyo Abdallah hajazaliwa. Na isitoshe asilimia kubwa ya hao wakazi wa mabondeni serikali ya awamu ya 4 iliwafidia kwa kuwapa viwanja sehemu salama na vifaa vya ujenzi. Kwa ujuaji wa kukaa mabondeni wakauza maeneo na vifaa huku wakiendelea kuishi sehemu hatarishi.

Awamu ya 5 inafuata kanuni na sheria za nchi. Hao wavamizi wa bonde la Msimbazi hawatakiwi kuwepo hapo. Hakuna kubembelezana tena. Kubembelezana ndio kumetufikisha hapa mpaka mkadiriki kumuita Mh. Rais wa awamu ya 5 Dhaifu. Well, not this time my friend. Watanzania inabidi Tujifunze kuishi kwa kufuata na kutii Sheria na Kanuni za nchi. Otherwise itakuwa chaos kila mtu akijiamulia la kufanya. Maamuzi ya kipuuzi Fanya nyumbani Kwako tena ukiwa ndani na mkeo na watoto wako.
hilo
la raisi wa awamu ya tano kuwa dhaifu umelitamka leo nashukuru kwa kugundua kwamba raisi wa awamu ya tano ni dhaifu pia.nasema hivi wakati hizo fidia zinatoka watoto hawakuwepo tuokoleeni watoto wetu.ni hilo tu sasa wazazi washafanya makosa na familia hawazimudu tena je watoto tuwabanike au tuwasogeze barabarani wqakaoshe vioo na kuomba hela.Wakati utatanabaisha.
 
Msiwe walevi wa madaraka, fikiria kama mama yako ndo amebomolewa kibanda chake. How would u feel?
Hili si jambo jipya. Mwenye moyo wa huruma angewashari wahame toka enzi. Tumezoea kwenda kwa huruma, matokeo yake ndio haya
 
hilo
la raisi wa awamu ya tano kuwa dhaifu umelitamka leo nashukuru kwa kugundua kwamba raisi wa awamu ya tano ni dhaifu pia.nasema hivi wakati hizo fidia zinatoka watoto hawakuwepo tuokoleeni watoto wetu.ni hilo tu sasa wazazi washafanya makosa na familia hawazimudu tena je watoto tuwabanike au tuwasogeze barabarani wqakaoshe vioo na kuomba hela.Wakati utatanabaisha.
Soma vizuri bandiko langu, nimesema Rais wa awamu ya 4 na sio ya 5 mlidiriki kumuita Dhaifu kwa huruma yake.
Sheria huwa haina macho..ndio maana unaona yule sanamu wa sheria aliyeshika mizani ya HUKUMU huwa amefungwa kitambaa usoni. Hili suala ni sawa sawa na kusema eti Kwa kuwa huyu Jambazi alipofanya ujambazi na kuua hakuwa na watoto, na sasa hivi ana watoto basi tumhurumie!!!! Ili kusonga mbele kimaendeleo inabidi yafanyike maamuzi magumu na kuchukuliwa hatua za msingi. Panapo kuwa na walalamikaji wawili SHERIA siku zote itakuwa nzuri upande mmoja na shubiri kwa mwingine. Tujifunze KUTII SHERIA NA KANUNI ZA NCHI.
 
soma
vizuri ulichoandika japo hutaki kukiri lakini nafsi yako imekiri kimoyo moyo.
 
Hayo uyasemayo ni yenye ukweli mtupu!
Tutakuja kutafakari baadae, wakati itakapokuwa too late!
Watoto wanaoshuhudia majanga kama haya udogoni, wasipopata matibabu ya akili, ndo watageuka kuwa magaidi au majambazi sugu
 
HII POST NILIIONA KWENYE GAZETI LA MWANANCHI, BUT I GOT THE POINT, YOU WANT TO MAKE MAGUFULI TO BE THE BAD MAN HERE
 
Watoto wanaoshuhudia majanga kama haya udogoni, wasipopata matibabu ya akili, ndo watageuka kuwa magaidi au majambazi sugu
Wewe umeyashuhudia majanga mangapi mpaka hapo ulipo!!?? Mbona umekuwa Raia mwema katika jamii!! Tuache fikra potofu na kauli za kichochezi.
 
Back
Top Bottom