Hawa wanapisha nini mkuu?
..wanapisha eneo la wazi.
..kuwahamisha ni sawa, lakini lazima ubinadamu uzingatiwe.
..sheria lazima zitekelezwe, lakini tusifanye hivyo kwa namna ya KIKATILI.
Hawa wanapisha nini mkuu?
Tajiri Hawezi bomolewa hata akijenga katikati ya bahariAiseee!!!!!! Basi nenda mahakamani. Pole kwa kukumbwa na BOMOA BOMOA ...