Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

Huyu amenisaidia kujua kuwa nafasi nyingi za kuteuliwa ni rushwa ya kuwanyamazisha wanaoongea na kuinyoshea vidole serikali.
kwa hili namshukuru kunipa majibu maana ilikuwa inanisumbua.
ongera mh.Mbatia hukunaswa na mtego wa kunguru.
 
alitaka mbatia atete ccm ndomana kilasku wanaambiwa akilizao wachanganye na zawengne
 
Abdallah Majura Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!Alikuwa kiongozi wa FAT (siku hizi TFF)wakati wa utawala wa Ndolanga na walipo badili katiba kuwa kiongozi wa TFF at least awe Form IV akaondoka!

Namjua jamaa huyu toka anauza mitumba na baadae bucha pale stand Musoma;kwake siasa ni kazi maana ndiyo mtaji wake!Bulembo atafanya nn CCM ikiondoka madarakani?
Kama CV yenyewe ndio hii ilikuwaje mkampa kura kuwa Mwenyekiti wenu wa Wazazi Taifa? Tatizo lenu nyie ccm ni unafiki,chuki,fitna na siasa za makundi. Mko tayari hata kuchagua gogo likae pale kuliko mtu wa kundi tofauti hata kama ana sifa na uwezo.
 
Kwa hali hii ccm wana roho kama ya kimburu, mbatia ni mzalendo mulitaka mkisha mpa rushwa basi awatetee nyie wadharimu
 
Sisiemu ni janga la kitaifa tufanye jitihada watanzania tuindoe madarakani.Tanzania bila sisiemu inaawezekana.
 
Bulembo ni mropokaji hajui asemalo. Eti Jugde walioba aliwahi kufungiwa na mahakama kugombea!! Mbatia ni mwanasiasa wa hali ya juu sio Bulembo msakatonge.
 
Bulembo umeshakuwa mtu mzima,kwani kikwete alishinikizwa na mtu amteue kuwa mbunge?si katiba ndiyo iliyomfanya amteue???na mwaka 2015 anagombea ubunge jimboni kwake sijui utasemaje??mbona hakukuteua wewe?acha siasa za maji taka mzee.Tangaza hizo sera zako za chama cha mafisadi.
 
A pathetic statement, from a trivial mind, poor him, ni ujinga wa hali ya juu.
 
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
Kumbe ndivyo mlivyo CCM, mnafuata anachosimamia mtu aliyewateua hata kama ni kuliangamiza taifa. Poleni sana na haya inabidi watanzania tuyaone kwani sisi ndio wapiga kura. Kesho utashangaa mtu kama Bulembo ambaye wakati fulani huwa namuheshimu sanaatagombea na kuchaguliwa licha ya mawazo yake mfu kama haya ya kutegemea kijana anayejitambua kama Mbatia kufuata msimamo wa waliomteua hata kama ni kinyume na kile anachokiamini.
Nimeamini sasa kuwa kumbe bila Kikwete kuonyesha msimamo wake wakati wa hotuba ya kufungua BMK, mjadala wa muundo wa muungano usingetufikisha mahali ulipofika kwani wajumbe wangesimama kwenye wanachokiamini na kwamba wengi mle ndani ni bendera fuata upepo tu.
Poleni sana watanzania kwa kuwa na wanasiasa wa aina ya Mheshimiwa Bulembo.
 
Abdallah Bulembo Alhaji alizoea kuropoka akiwa FAT Mara anaendeleza uropokaji hadi CCM. Ajifunze staha. Mbatia Ana HESHIMA kubwa kitaifa zaidi yake. Amuheshimu Mbatia tafadhari.
 
Huyo Burembo mbulula Mbatia kateuliwa na raisi kwa mujibu wa katiba ,ila kama chama ndicho kilipitisha na kumteua kwa misingi ya rushwa na masharti yake ni kuunga mkono pumba za ccm atwambie. Maana shukurani anazotoa mbatia kwa watanzaniani pale bungeni ni za dhati kwa mustakabali wa taifa kama kupigania elimu bora nchini na si bora elimu tuliyonayo sasa.
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
 
My best politicians in this country ni Mch.Mtikila na Mbatia japo sijawahi kuwa mwanachama wa vyama vyao ila hawa jamaa wako very smart name huwa inatumika nguvu kubwa kuonyeshwa hawa ni wehu
 
Duh huyu Burembo akapimwe uwezo wake wa kufikili maana kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kusimama mbele ya watu na kutamka maneno kama yale. Kwanza amemdhalilisha KIKWETE na MBATIA na inaonyesha kuwa Kikwete alitoa rushwa ya ubunge kwa mbatia ili kumfunga mdomo .
 
Back
Top Bottom