Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,635
- 2,303
Bulembo ni std seven
Kupata hakuna kusoma mkuu,Mbowe ana miaka 16c hadema kama mwenyekiti,anawageuza maprofessor wa chadema kama chapati wakati hana cheti cha form fourAbdallah Majura Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!Alikuwa kiongozi wa FAT (siku hizi TFF)wakati wa utawala wa Ndolanga na walipo badili katiba kuwa kiongozi wa TFF at least awe Form IV akaondoka!
Namjua jamaa huyu toka anauza mitumba na baadae bucha pale stand Musoma;kwake siasa ni kazi maana ndiyo mtaji wake!Bulembo atafanya nn CCM ikiondoka madarakani?
La saba BBulembo ni std seven
Stupid Bulembo, ndiyo maana nchi haiendelei kumbe kuna baadhi ya viongozi bado ni mbumbumbu, kumbe bungeni kunatafsiriwa kuwa ni sehemu ya kutuliza maumivu na siyo mapambano
Anasubiri pale ndioooooooooooHivi darasa la saba la bulembo litaweza kusoma miswada ya kingereza bungeni?
Abdallah Majura Bulembo HAJUI kusoma wala kuandika!Alikuwa kiongozi wa FAT (siku hizi TFF)wakati wa utawala wa Ndolanga na walipo badili katiba kuwa kiongozi wa TFF at least awe Form IV akaondoka!
Namjua jamaa huyu toka anauza mitumba na baadae bucha pale stand Musoma;kwake siasa ni kazi maana ndiyo mtaji wake!Bulembo atafanya nn CCM ikiondoka madarakani?
Diwani wa kata ya NyashoWakuu, mwenye CV ya Bulembo naomba atuwekee tuweze kuangalia na hatimaye kujiridhisha juu ya uwezo wake wa kuchanganua mambo.
Alikuwa muuza simu musoma enzi zile waliwahi kutukanana hadharani na George malato wa ITV SAA hizi Lisa hiyo biashara ya simucv ya bulembo tafadhali.
Na warioba alimpuuza baada ya kumsingizia alitoa rushwa wakati aliyepatikana na hatia alikuwa wasiraNdo maana Wasira alimnyanganya mke
Marx hivi hujafungiwa. Nilifungiwa juzi kwa neno stupi.d, siku mbili sero. Lkn nasemaga I can do without jf
Mkuu chunga ulimi wako Mzee Bulembo siyo mpumbavu labda tuseme wewe ni mpumbavu na umemtambua mpumbavu mwenziyo. Anachosema ni sawa, Mbatiya aliteuliwa kwa nia njema kuimarisha upinzani lakini si kwa maji taka. Kama Mbatiya anasema CCM hawana akili tena ni mafisadi, kwa nini alikubali kuteuliwa na mafisadi? Kama ni upinzani angetoa sera mbadala kuliko kujikita kiukabila akaiacha NCCR ife yeye akawa msemaji wa Chadema, tena kwa kupitia Kanisa.Miongoni mwa watu wapumbavu huyu bwana ni miongoni mwao!!mara nyingi kauli zake uwa ni za ajabu!!
Uteuzi wa Mbatia ni kwa mujibu wa katiba,na katiba haijaweka masharti ya anayeteuliwa kuwa mbunge,hapa tatizo la Mbatia ni nini!!?tatizo kuna watu wanafikiri kuwa kuwa mwanasiasa ni lazima utetee kila kitu hata kama ni cha hovyo ilimradi tu ufurahishe upande wako,kwa akili hizi hata maendeleo ni ndoto,kamwe hakuna maendeleo bila mawazo tofauti.
Ndiyo. Wangekataa.Ina maana hawa vijana wa vyuo wanaojiunga tu CCM kwa ahadi za kupewa wali na fulana za kijani pindi wakijitambua wakaamua kuwa na misimamo tofauti na kuvua fulana za CCM watakuwa wamekosa shukrani?