Mkuu nadhani umeshamtambua huyo mwingine ninaye msema hapo juu! Ni full mawenge tuu.Mkuu huna haja ya kuwa na shaka it is proven kwamba hawako sawa kumkichwa!
Huyu Bulembo anafikiri kila mtu ananunulika kama yeye
Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.
Sent from my iPad using JamiiForums
Nilichogundua wachangiaji wengi humu jf hamjatembea na akili na mawazo ya wanainchi wengi wa tz hii,kwao wao anayosema bulembo ndio issue na si mnayoyajadili nyinyi mliyefuta ujinga,hebu njooni huku namtumbo,kindimba juu,kingilikiti,liuli,chiulu,namanyele,ligera,mpepai na vijiji vingine mujionee hali halisi.kwao wao anayosema bulembo,kinana,nape mnauye ndio dira za maisha yao ya siku za usoni.
Wakuu, mwenye CV ya Bulembo naomba atuwekee tuweze kuangalia na hatimaye kujiridhisha juu ya uwezo wake wa kuchanganua mambo.
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
jana m/kiti wa jumuia ya wazazi abdalla bullembo alisema kuwa mhe james mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na ukawa na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya ccm iliyompa ulaji.
akili za mjinga hizoMheshimiwa Rais alimteuwa akijua wazi kuwa ni mpinzani na si wakala wa CCM na inawezekana Rais lishauriwa hivyo na CCM ili kupunguza nguvu za CHADEMA na ndiyo maana data zote anazotumia anapewa na Serikali. Na mheshimiwa Mbatia angefanya tofauti na tabia yake ya awali asingeeleweka wala kuaminika na angjimaliza angali kijana kama alivyojimaliza mwenyewe Lyatonga mzee wa Kilalacha kwa ghiriba za CCM .
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.
Bulembo ni mjinga sana,anafikiri mbatia ni mchumia tumbo kama yeye.Kwanza bulembo alimchafua sana Jaji waerioba ktk kipindi tume inakusanya maoni ya wananchi,na warioba aliitisha mkutano na waandishi wa habari kuelezea ujinga anaofanya bulembo ktk mikutano yake.POOR BULEMBO!
CV ya Bulembo inahusika wakuu.....tunaiomba tujiridhishe