Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

ccm wote ni kama vichuguu visivyo na malkia yaani yote ni mapumbavu mpaka basi kuanzia baba mpka vitukuu. siku zote ukitaka kuwa mwanaccm lazima uanze kufikiri na kutenda kwa kutumia tumbo au makalio badala ya ubongo.

Kwa hiyo mlimpa ubunge kama hongo na kuongeza idadi ya wana ccm
 
kama kuna jitu la hovyo hovyo ni pamoja na Bulembo! Kwanza ni mwizi mkubwa! mali za jumuiya ya wazazi kafanya kama zake na familia yake na tena ameshtakiwa kwa M/kiti wa CCM kwa uporaji! Ndie huyu huyu ambae sidhani kama hata katiba yenyewe aliwahi kusoma akawa anamshambulia Mzee Warioba ktk majukwaa!

Huwa anapenda kushambulia watu majukwaani badala ya kueleza mipango ya jumuia yake au chama chake! Ni mwehu.
 
Ndio athari ya siasa za Tanzania, kama ukubaliani na mtu kwa kupigania maslahi ya kile unachoamini ni kosa kwa muono wa wanasiasa wengine sums the politics of sucking up. Wanasiasa gani wanao ogopa kushindana kwa hoja mpaka waanze kuitana majina adharani au sijui malalamiko ya kutaka kuniaribia kwa wapiga kura, whatever happened to politics za kujinadi kwa wapiga kura in the first place and letting them be the judges.
 
Jana m/kiti wa Jumuia ya wazazi Abdalla Bullembo alisema kuwa mhe James Mbatia hana shukrani kwasababu alikuwa na maisha magumu Mh. Rais akamteua kuwa mbunge na kupewa gari nzuri,anavaa suti nzuri lakini hana shukrani/heshima
kwa kitendo chake cha kujiunga na UKAWA na kupanda majukwaani kuiponda serikali ya CCM iliyompa ulaji.

Bulembo kichwa kitupu. Kwa hiyo walimhonga Mbatia kama Zitto? Aliyemwambua Mbatia ni maskini ni nani? Hivi mnafahamu family background ya Mbatia??? Kwao hakuna umaskini. Ila sasa iwe fundisho kuwa usikubali kutumika na Bulembo ametumika tu kufikisha ujumbe wa the King aliyemteua Mbatia.
 
Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.


Sent from my iPad using JamiiForums

Sasa kama Mwnyekiti ndiyo hivyo ....................... sijui wanachama wake watakuwaje!!??
 
Naanza kupata mashaka na watu walio huko jumuia ya wazazi kama wako sawa kichwani au jumuia hiyo ni mkusanyiko wa watu wenye hitilafu ya fikra. Yupo na yule mwingine naye anaongea kabla ya kufikiri hapa JF.


Sent from my iPad using JamiiForums
Mkuu huna haja ya kuwa na shaka it is proven kwamba hawako sawa kumkichwa!
 
Nilichogundua wachangiaji wengi humu jf hamjatembea na akili na mawazo ya wanainchi wengi wa tz hii,kwao wao anayosema bulembo ndio issue na si mnayoyajadili nyinyi mliyefuta ujinga,hebu njooni huku namtumbo,kindimba juu,kingilikiti,liuli,chiulu,namanyele,ligera,mpepai na vijiji vingine mujionee hali halisi.kwao wao anayosema bulembo,kinana,nape mnauye ndio dira za maisha yao ya siku za usoni.
 
Huo ndio mtazamo wa kiongozi mwenye hadhi ya juu kama Bulembo!Shame on him.Ana wakilisha kundi kubwa la watu wa aina na mtazamo kama wake!Shame on them!
 
CCM hawawezi kuziona fadhila za Mbatia mpaka awe nyang'au kama wao.
 
Back
Top Bottom