Abaki mtupu kupinga ukaguzi wa airport | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abaki mtupu kupinga ukaguzi wa airport

Discussion in 'International Forum' started by MWANA WA UFALME, Apr 19, 2012.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Huyu bwana baada yakuona wakaguzi wa airport wanamfanyia harassment aliamua kuvua moja kwa moja kupinga kitendo hicho. Hii ilitokea portland international airport.

  Source: Published: 10-14 19.04.12, changed 19.04.12-2: 29 (SCIENCE)
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kaaazi kweli kweli, naona wajeda wote wamegeuka wanaogopa kumuangalia!??
   
 3. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao jamaa wamegeuka kumuangalia lakini hata Polisi wenyewe walishindwa la kumfanya. Wanasema hawakuweza kumshika kwa kosa la kuvua, maana alikuwa anatetea haki yake
   
 4. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Dah! kweli wazungu kizunguzungu.
   
 5. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,223
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Safi sana,kama wanawasi wasi naye wamkague sasa!Tena angeinama kabisa ili wampekue vizuri!!Kuna wakati hawa jamaa wa viwanja vya ndege wanakera sana!!
   
 6. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure naona jamaa aliona isiwe nongwa awape nafasi ya kukagua vizuri
   
 7. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hicho kweli ni kizunguzungu
   
 8. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Dawa ya usumbufu ni usumbufu.
   
Loading...