Aangua kilio baada ya mpenzi wake kuolewa kwa siri

Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam.

Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa mwanamke.

jamaa alijitoa sana, alisaidia ndugu wa mwanamke. kingine ni kwamba, huyu mwanamke alikuwa na mtoto ambaye alizaa na mshikaji flan hivi ni childhood friend wangu, lakin jamaa hakujali, alikubali kumlea, na mwanamke hakuwahi kumuonyeshea hata chembe ya kuonyesha kuwa hampendi jamaa, yaani alimpa kila kitu.

Jana jamaa kapewa taarifa na msamaria mwema kwamba mpenzi wake anaolewa kesho(yaani leo). Jamaa baada ya kupewa taarifa akaenda moja kwa moja nyumbani kwa akina mwanamke ambapo ndo anakaa na dada zake ili ajue kinagaubaga na ili aongee na mpenzi wake.

kufika pale kweli akakutana na dada zake, baada ya kuwauliza wakamwambia kuwa taarifa alizozisikia ni kweli, na mpenzi wake hayuko pale, yupo kwa wazazi wake anasubiri ndoa ambayo ingefungwa kesho yake.

jamaa baada ya kupokea zile taarifa aliangua kilio kikubwa sana, baadae aliondoka. Leo amekuja tena kushuhudia ndoa ya mpenzi wake na ameangua kilio tena kwa huzuni kubwa yaan kama movie vile, so sad, wanawake mtatuua.

nawaza jamaa sasa hivi sijui atakuwa kwenye hali gani maana dah,

Anyway wanaume tuwe makini, tusiwekeze sana kwa hawa wanawake, kwao kusahau fadhila ni haraka sana.
Tutafute pesa lakini tuwe makini, tusikiuke maandiko tutaangamia, tukumbuke kuwa sisi ni viongozi na ndo watawala wa hii dunia, Tusiishi kizembe
Unakuaje na mwanamke mmoja kua na machaguo kama 3 hivi.
 
Pole, ukute alikuwa hayupo tayar kumuoa Kwa muda huo. Akapata anayeweza muoa. Shida mdada angeachana na jamaa kwanza ndio akaolewe, maumivu kidogo yangepungua Kwa jamaa
 
Kwa nini asingemuoa , et mpenz wa mda mrefu huo ni usenge wa Hali ya juu , yaan mwanamke umri unaenda hata hutoi mahali unakaa kumhudumia tuu , lazima akufurahshe tuuu .... Oa , zalisha chap chap watoto wawili wa haraka haraka .....vijana acheni huo ujinga , unakaa na binti zaidi ya mwaka et wapenzi ha haa kuna wahuni wapo serious watakuonyeshea jinsi game inavyochezwa
Eti mi naona amefanya inavyostahili, angemuoa leo hii asingetuangulia kilio kikubwa 🤣
 
.Umemshape kwa kuzini naye.Kwamba zinaa Sasa Ina manufaa.Kweli tumefikia hatua hii ya kuona zinaa ni kitu Cha kujivunia nacho.
Zinaa ni nini? Na nani amekuambia kuwa nimesema kuzini na mwanamke ndio kumshape?

Usipende kukurupuka utakuja dandia train kwa mbele ugongwe.
 
Hii imetokea leo mitaa fulan huku Daslam.

Ipo hivii, jamaa na huyo mwanamke ni wapenzi wa muda mrefu sana, mahusiano yao yalifika mbali kiasi kwamba, huyu jamaa alifahamika na baadhi ya ndugu wa mwanamke.

jamaa alijitoa sana, alisaidia ndugu wa mwanamke. kingine ni kwamba, huyu mwanamke alikuwa na mtoto ambaye alizaa na mshikaji flan hivi ni childhood friend wangu, lakin jamaa hakujali, alikubali kumlea, na mwanamke hakuwahi kumuonyeshea hata chembe ya kuonyesha kuwa hampendi jamaa, yaani alimpa kila kitu.

Jana jamaa kapewa taarifa na msamaria mwema kwamba mpenzi wake anaolewa kesho(yaani leo). Jamaa baada ya kupewa taarifa akaenda moja kwa moja nyumbani kwa akina mwanamke ambapo ndo anakaa na dada zake ili ajue kinagaubaga na ili aongee na mpenzi wake.

kufika pale kweli akakutana na dada zake, baada ya kuwauliza wakamwambia kuwa taarifa alizozisikia ni kweli, na mpenzi wake hayuko pale, yupo kwa wazazi wake anasubiri ndoa ambayo ingefungwa kesho yake.

jamaa baada ya kupokea zile taarifa aliangua kilio kikubwa sana, baadae aliondoka. Leo amekuja tena kushuhudia ndoa ya mpenzi wake na ameangua kilio tena kwa huzuni kubwa yaan kama movie vile, so sad, wanawake mtatuua.

nawaza jamaa sasa hivi sijui atakuwa kwenye hali gani maana dah,

Anyway wanaume tuwe makini, tusiwekeze sana kwa hawa wanawake, kwao kusahau fadhila ni haraka sana.
Tutafute pesa lakini tuwe makini, tusikiuke maandiko tutaangamia, tukumbuke kuwa sisi ni viongozi na ndo watawala wa hii dunia, Tusiishi kizembe
Sa mwanamke ana mtoto halafu bado anaangua kilio, mzabue kofi la uso azinduke 🤣🤣🤣
 
Hajielewi huyo jamaa yako inatakiwa apige goti ashukuru, alikokuwa anaelekea huyo single maza angemtoa roho
 
Back
Top Bottom