Aambiwe (Babu jinga)

Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila,
Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu!

Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako?
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako?

Amyner mbona unanipa kazi sana ya kukufariji coz ukiwa Man U kila siku utakuwa na huzuni ya kufungwa....
Ila sio shida ile jezi yangu ya The blues uliyoivaa siku ile nakuachia iwe yako....
Sawa mpenzi wangu eeh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom