makilo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 2,444
- 4,809
Umepanik brother"nilichokujibu ni sahihi kabisa soma tena unielewe!Soma vizur nilichoandika umeelewa au umekurupuka?
Umepanik brother"nilichokujibu ni sahihi kabisa soma tena unielewe!Soma vizur nilichoandika umeelewa au umekurupuka?
Kaaaa yani habar za udaku ambazo tunapoteza muda humu jf ndo nipanic maajabu haya tuddy kafanya kazi kibao za diamond na ndio producer anaemtumia mara kwa maraUmepanik brother"nilichokujibu ni sahihi kabisa soma tena unielewe!
Kabisa.... Nashangaa jamaa anavyosema kauharibuDiamond ndio kaibeba Kwangwaru
Watu wasiovumilika ni kuachana nao tu mkuu kwa wemaAcha uongo,imebaki story imefanywa kwa tuddy kipindi kile tuddy alikuwa sound injinia wa bendi ya diamondi.tuddy kafanya na I miss u pia kafanya my number one remix.rich kasaidiwa sana na diamond.kitu msichojua diamond anasauti ya mwisho na maamuzi ya mwisho pale wasafi hao mameneja hawapindui kwa diamond.
Akina mchomvu wanampotosha sana rich pia rich havumiliki kama baraka da prince
ata mm nasubir jibu maana dunia imejaa maradhiRuge anaumwa nini
Hata mimi nashangaa kwakweli. Kwa mavoco yupi wakumshindanisha na diamond. Watu wakiishiwa hoja ni uwongo tu husambazaAlafu hiii mada imekaa kinafki kwasababu mavoko alisaini WCB wakati ana hali mbaya kimuziki na baada ya kuna WCB ndio akaanza na nyimbo ya imebaki story nayo ikahit, ikaja KOKORO ndio uspime tena kamshirikisha Diamond sasa kama diamond alikuwa ananyimwa usingizi na mavoko aliwezaje kumruhusu kutoa ngoma kali kama kokoro, ?
Mavoko kujitoa wcb ndio atapotea kabisa wait and see
A young, powerful & famous musician from East Africa.... the owner and C.E.O of Wasafi Company Inc. possessing W.C.B label, Wasafi studios, Wasafi media group, Chibu perfume, and Diamond karanga. Due to his influence on social media... he has been trusted by most of companies and given lots of endowsements in companies like cocacola, vodacom, gsm, safaricom kenya, belaire from france, chill sauce, and currently working with Gucci... so ndo hivo ndo maana vijana wengi wanamjadili huyu jamaaHivi Huyu diamond ni nani mbona watu wanamjadili sana..?
Ni waziri wa michezo na burudaniHivi Huyu diamond ni nani mbona watu wanamjadili sana..?
Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari ila wewe jua kuwa Ruge anaumwa sana.Ruge anaumwa nini