WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,738
7,684
Ukweli ni kua Wasanii walioko chini ya Label ya Wcb wananyimwa Fursa kupata Promo ya Media kubwa Kama Clouds, E-fm na Eatv&radio Zinazosikika Mikoa mingi Hapa Tanzania

Ukiangalia kwa Jicho la tatu unaona kabisa Uongozi wa Wcb una Matatizo wale Mameneja ni Wachumia tumbo Macho yao yapo Kwa Diamond tu, hao Mameneja ndo Wavurugaji wakubwa wa label kila anaetoka pale Wasafi anawalalamikia jamaa, wengi wanasema Diamond hana shida ila Sallam na Tale ni Wakuda,hawataki mtu mwingine yoyote awe karibu na Mond

Diamond kabla ya kua na hawa waganga njaa alikua na mahusiano mazuri na radio za hapa bongo na hata pale alipokua wakitofatiana suluhu ilikua inatafutwa na yanaisha,.

Leo hii hana maelewano mazuri na Clouds, E-Fm na Eatv&radio, hizi ni radio zinazosikika Eneo kubwa la tanzania, hiyo Wasafi radio inasika Dar tu,

Ni Nadra sana Kumuona au kusikia msanii wa Wcb kafanya Media tour sana utawaona Times Fm ambao nao wanasikika mikoa miwili kama si mitatu hapa tanzania,.

Wanakosea sana pale wanapodhani Promo la Youtube na Insta linatosha,. Ni Watanzania wachache wanaomiliki Smartphone wenye uwezo wa kuingia uko Insta na Youtube App zinazo kula bando kama Mchwa, Na asilimia kubwa wanamiliki vitoch vyenye radio

Wasipobadilia hiyo Label itakupigwa kifo cha Mende ipate Mimba ishindwe kuendelea na Masomo
 
yaaani we jamaa kil siku wcb wcb we ndo una mahabaaa saaaana na wcb afu hueleweki fabya yako yasiyo kuhusu achana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba na wasanii Kama aslay wanapata promo kubwa huko clouds mbona hawawi wakubwa Kama diamond?
Diamond mbali hivyo atuambie hao wasanii wa clouds wanamkuta kwa kipi mboso ambae hapewi airtime na hao watu.
Mziki siku hizi sio radio tu asee hata wenye vitecno tochi wanaenda kwa vibanda wanaingiziwa nyimbo hawaitaji clouds wapige ndo waisikie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiba na wasanii Kama aslay wanapata promo kubwa huko clouds mbona hawawi wakubwa Kama diamond?
Unampenda sana Diamond au unajua kusoma ila kuelewa ndo tatizo,. Alafu mi sijamtolea mfano msanii mwingine, ila we umekurupuka na kiba na Aslay acha uteam wa kipimbi

Nazungumzia Wasanii wa Label ya Wcb achana huyo Diamond kuna Wasanii wako chini Label ya Wcb.. Kama Ni Diamond ningemzunguzia yeye kama yeye wala nisingeweza kuitaja Label

NB; Leo Diamond kavaa nguo gani?
 
Hili Povu kapigie Nyeto Mkuu upoze machungu
yaaani we jamaa kil siku wcb wcb we ndo una mahabaaa saaaana na wcb afu hueleweki fabya yako yasiyo kuhusu achana nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unapata tabu sana,WCB wana dominate kila sehemu kuanzia kwenye digital platforms,tuzo mpaka idadi ya show na kushiriki kwenye matukio ya show kubwa.vyote wanafanya bila msaada wa hao unao wasema wewe.

Sasa wawahitaji hao una wasema wewe,wakati wasanii wao wanao wasapoti hawapati wanavyo vipata WCB.

Ila si shangai siku zote HATER huwa wanaongea KINYUME.
 
Ngoma za diamond Zimekuwa hit bila hata kupigwa hapo clouds unazisikia kwenye mtandaoni, harusi, club, bodaboda kifupi mtaani na media za nje.Ngoma kwangwaru ya harmonize ft diamond imekuwa hit song bila hata kupigwa clouds kipindi yupo WCB je ngoma ipi ya harmo aliyotoa kipindi hiki ambapo ngoma zake zinapigwa clouds imefikia kwangwaru?

Mboso ametengeneza hit song nyingi Kama hodari, alele,Tamu,maajabu, Nipepee n.k na sasa amekuwa msanii mkubwa kuliko hasa aslay ambaye ngoma zake zinapigwa clouds.

Swali la mwisho na la msingi kwa Nini hao wasanii ambao ngoma zao zinapigwa clouds hawajafika kwenye level ya diamond platnumz?ukishapata jibu jiulize upya Kati ya clouds na WCB Nani anamwitaji mwenzake?
 
Unampenda sana Diamond au unajua kusoma ila kuelewa ndo tatizo,. Alafu mi sijamtolea mfano msanii mwingine, ila we umekurupuka na kiba na Aslay acha uteam wa kipimbi

Nazungumzia Wasanii wa Label ya Wcb achana huyo Diamond kuna Wasanii wako chini Label ya Wcb.. Kama Ni Diamond ningemzunguzia yeye kama yeye wala nisingeweza kuitaja Label

NB; Leo Diamond kavaa nguo gani?
Nitajie msanii yoyote nje ya WCB mwenye show nyingi kumshinda Rayvanny alafu na me nakuwekea list ya show ambazo anazo Rayvanny mwaka Huu.
 
Ukweli ni kua Wasanii walioko chini ya Label ya Wcb wananyimwa Fursa kupata Promo ya Media kubwa Kama Clouds, E-fm na Eatv&radio Zinazosikika Mikoa mingi Hapa Tanzania

Ukiangalia kwa Jicho la tatu unaona kabisa Uongozi wa Wcb una Matatizo wale Mameneja ni Wachumia tumbo Macho yao yapo Kwa Diamond tu, hao Mameneja ndo Wavurugaji wakubwa wa label kila anaetoka pale Wasafi anawalalamikia jamaa, wengi wanasema Diamond hana shida ila Sallam na Tale ni Wakuda,hawataki mtu mwingine yoyote awe karibu na Mond

Diamond kabla ya kua na hawa waganga njaa alikua na mahusiano mazuri na radio za hapa bongo na hata pale alipokua wakitofatiana suluhu ilikua inatafutwa na yanaisha,.

Leo hii hana maelewano mazuri na Clouds, E-Fm na Eatv&radio, hizi ni radio zinazosikika Eneo kubwa la tanzania, hiyo Wasafi radio inasika Dar tu,

Ni Nadra sana Kumuona au kusikia msanii wa Wcb kafanya Media tour sana utawaona Times Fm ambao nao wanasikika mikoa miwili kama si mitatu hapa tanzania,.

Wanakosea sana pale wanapodhani Promo la Youtube na Insta linatosha,. Ni Watanzania wachache wanaomiliki Smartphone wenye uwezo wa kuingia uko Insta na Youtube App zinazo kula bando kama Mchwa, Na asilimia kubwa wanamiliki vitoch vyenye radio

Wasipobadilia hiyo Label itakupigwa kifo cha Mende ipate Mimba ishindwe kuendelea na Masomo
ulipokuwa ukiandika huu uzi unafahamu kuwa ni miaka zaidi ya miwili na ni zaidi ya mitatu toka WCB wanagombana na hzo media...?

Lakini kumbuka mpaka sasa huwezi ona tofauti ya wasanii wanaoshirikiana na hzo media zaidi wasanii waliopo WCB wanatamba kuliko hata hao mpaka inafika time hata ww unasema kunawasanii wanabebwa na Jina la lebo.

Kumbuka huyo harmonize unamuona hapo alipo ni nguvu ya WCB na Mboso na Lavalava pia ni nguvu ya WCB na si media yoyote.

Hzo media zinawaitaji zaidi wasanii wa WCB kuliko wao wanavyozihitaji wao coz umbea wote upo WCB heat zote zpo WCB hata ujinga/upumbavu chochotewooote utaohitaji upo pale
ko we endelea kusubiri tu waanguke
 
Uelewa wako wa kuelewa na kuchanganua mambo ni Mdogo sana.. Mi simuongelei boss wenu nawaomgelea hawa madogo walioko chini ya label yake.

Ebu weka hapa Ratiba ya show za Rayvann, mboso na Lavalava

Unapata tabu sana,WCB wana dominate kila sehemu kuanzia kwenye digital platforms,tuzo mpaka idadi ya show na kushiriki kwenye matukio ya show kubwa.vyote wanafanya bila msaada wa hao unao wasema wewe.

Sasa wawahitaji hao una wasema wewe,wakati wasanii wao wanao wasapoti hawapati wanavyo vipata WCB.

Ila si shangai siku zote HATER huwa wanaongea KINYUME.
 
Ngoma za diamond Zimekuwa hit bila hata kupigwa hapo clouds unazisikia kwenye mtandaoni, harusi, club, bodaboda kifupi mtaani na media za nje.Ngoma kwangwaru ya harmonize ft diamond imekuwa hit song bila hata kupigwa clouds kipindi yupo WCB je ngoma ipi ya harmo aliyotoa kipindi hiki ambapo ngoma zake zinapigwa clouds imefikia kwangwaru? Mboso ametengeneza hit song nyingi Kama hodari, alele,Tamu,maajabu, Nipepee n.k na sasa amekuwa msanii mkubwa kuliko hasa aslay ambaye ngoma zake zinapigwa clouds.Swali la mwisho na la msingi kwa Nini hao wasanii ambao ngoma zao zinapigwa clouds hawajafika kwenye level ya diamond platnumz?ukishapata jibu jiulize upya Kati ya clouds na WCB Nani anamwitaji mwenzake?
Mbona Mnaenda nje ya Mada yani Mnaikwepa Nawazungumzia wasanii waliopo chini ya label ya Diamond, Sijui uelewa wenu ni mdogo au ndo mmerogwa

Unampenda sana Diamond au unajua kusoma ila kuelewa ndo tatizo,. Alafu mi sijamtolea mfano msanii mwingine, ila we umekurupuka na kiba na Aslay acha uteam wa kipimbi

Nazungumzia Wasanii wa Label ya Wcb achana huyo Diamond kuna Wasanii wako chini Label ya Wcb.. Kama Ni Diamond ningemzunguzia yeye kama yeye wala nisingeweza kuitaja Label

NB; Leo Diamond kavaa nguo gani?
 
HAPA NAJUA WATU WENGI WATACHANGIA KWA MIHEMKO YA TIMU, ILA KIUKWELI WASANII WANAHITAJI SANA MEDIA KUJIJENGA KULIKO MEDIA INAVYOWAHITAJI WASANII, PIA KWA WANAOKUMBUKA REDIO CLOUDS IMECHANGIA SANA WASANII KUPATA TUZO ZA NJE KWA KUTUHAMASISHA KUPIGA KURA ILA KWASASA TUMERUDI SANA NYUMA KWENYE TUZO SABABU YA BIFU ZA KIJINGA ZA MEDIA NA WASANII.
KINA P, DIDY WENYEWE NI WASANII WAKUBWA LAKINI WANAIHESHIMU SANA REDIO 106.6 POWER FM HOUSE OF HIP HOP YA MAREKANI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu unasahau kua huyo Diamond kufika hizo lavel kapita na kapata promo kubwa sana kwenye hizo media kabla hajaranguliwa na walanguzi
Ngoma za diamond Zimekuwa hit bila hata kupigwa hapo clouds unazisikia kwenye mtandaoni, harusi, club, bodaboda kifupi mtaani na media za nje.Ngoma kwangwaru ya harmonize ft diamond imekuwa hit song bila hata kupigwa clouds kipindi yupo WCB je ngoma ipi ya harmo aliyotoa kipindi hiki ambapo ngoma zake zinapigwa clouds imefikia kwangwaru? Mboso ametengeneza hit song nyingi Kama hodari, alele,Tamu,maajabu, Nipepee n.k na sasa amekuwa msanii mkubwa kuliko hasa aslay ambaye ngoma zake zinapigwa clouds.Swali la mwisho na la msingi kwa Nini hao wasanii ambao ngoma zao zinapigwa clouds hawajafika kwenye level ya diamond platnumz?ukishapata jibu jiulize upya Kati ya clouds na WCB Nani anamwitaji mwenzake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom