A-Z Rich Mavoko kuondoka WCB - Mchawi Babu Tale na Sallam

Umepanik brother"nilichokujibu ni sahihi kabisa soma tena unielewe!
Kaaaa yani habar za udaku ambazo tunapoteza muda humu jf ndo nipanic maajabu haya tuddy kafanya kazi kibao za diamond na ndio producer anaemtumia mara kwa mara
 
Acha uongo,imebaki story imefanywa kwa tuddy kipindi kile tuddy alikuwa sound injinia wa bendi ya diamondi.tuddy kafanya na I miss u pia kafanya my number one remix.rich kasaidiwa sana na diamond.kitu msichojua diamond anasauti ya mwisho na maamuzi ya mwisho pale wasafi hao mameneja hawapindui kwa diamond.
Akina mchomvu wanampotosha sana rich pia rich havumiliki kama baraka da prince
Watu wasiovumilika ni kuachana nao tu mkuu kwa wema
 
Alafu hiii mada imekaa kinafki kwasababu mavoko alisaini WCB wakati ana hali mbaya kimuziki na baada ya kuna WCB ndio akaanza na nyimbo ya imebaki story nayo ikahit, ikaja KOKORO ndio uspime tena kamshirikisha Diamond sasa kama diamond alikuwa ananyimwa usingizi na mavoko aliwezaje kumruhusu kutoa ngoma kali kama kokoro, ?

Mavoko kujitoa wcb ndio atapotea kabisa wait and see
Hata mimi nashangaa kwakweli. Kwa mavoco yupi wakumshindanisha na diamond. Watu wakiishiwa hoja ni uwongo tu husambaza
 
Duuuuh wabongo bhana.... hivi hizi taarifa mnazipata wap? Leteni sourse iliyokamili... maana hakuna sehemu ambayo mavoko amesema kaachana na WCB... hakuna sehemu ambayo menejiment ya wasafi imetangaza kuachana naye... ila taarifa iliyopo ni kuwa mavoko anaandaa albam yake.... na hii imethibitishwa na mavoko mwenyewe... sijui mara mavoko hatoi nyimbo mara kafanyaje... mbona hata darlin hatoi? Na yupo kimya sana... kuhusu public show.. tunajua mavoko sio mtu wa show off.... ndo maana hata page yake ya insta ina muda mrefu haijapostiwa chochote. Yaan ndo hvo... km kuna mtu atataka kubishia hapa alete ushahidi wa kutosha ili nimwelewe sio brabra za udaku wa kimbea wa insta mnaleta humu kwa magreat thinkers mkajua tutawaelewa... LETENI USHAHIDI WA KUTOSHAAAAA.....
 
Hivi Huyu diamond ni nani mbona watu wanamjadili sana..?
A young, powerful & famous musician from East Africa.... the owner and C.E.O of Wasafi Company Inc. possessing W.C.B label, Wasafi studios, Wasafi media group, Chibu perfume, and Diamond karanga. Due to his influence on social media... he has been trusted by most of companies and given lots of endowsements in companies like cocacola, vodacom, gsm, safaricom kenya, belaire from france, chill sauce, and currently working with Gucci... so ndo hivo ndo maana vijana wengi wanamjadili huyu jamaa
 
Back
Top Bottom