A word of thanks from my heart

Daaah, thanks a lot SS,..

Nimefurahi mpaka nimeishiwa na cha kusema...sikutarajia kupokea shukrani nzito hivi ndugu yangu... Thanks sana, sana! Karibu tena siku ingine...

erick popote ulipo gonga like badala yangu afu mie ntajazia yakwangu kesho, si unajua ni jumatatu?
Hahahahaaaa nimeigonga tena kwa herufi kubwa sana naenda na kwenye Rep power kumpa kijana heshima yake.....
 
Hahahahaaaa nimeigonga tena kwa herufi kubwa sana naenda na kwenye Rep power kumpa kijana heshima yake.....
Hehehe, na mimi kesho ntampa kheshima manake anaistahili. Amenishtukiza mpaka najihisi aibu lol...kwa hasira namtumia nauli aje tena!
 
Hello wapendwa,
leo kwa namna ya pekee kabisa naomba niwashukuru sana wana JF from Arusha, distinguished thanks goes to Erickb52... I WILL MISS YOU BROTHER... to dada sweetlady... Nitakukumbuka sana pia...
Napenda kusema ahsanteni sana, You showed a good concern on me... You cared me well, though the time was too short, I APPRECIATE SANA,
A MOUTH CAN NOT TELL HOW GRATEFULL I AM, BUT PLEASE RECEIVE MY GRATITUDES FROM MY HEART.

GOODBYE...

Nyie bwana haya maneno yenu, watu waanze kuhisi unajitabiria kifo bure!
 
Last edited by a moderator:
Daaah, thanks a lot SS,..

Nimefurahi mpaka nimeishiwa na cha kusema...sikutarajia kupokea shukrani nzito hivi ndugu yangu... Thanks sana, sana! Karibu tena siku ingine...

erick popote ulipo gonga like badala yangu afu mie ntajazia yakwangu kesho, si unajua ni jumatatu?

Thanks so much, and i appreciate your concern
 
Back
Top Bottom