sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Khaaa! Mdai aisee mpaka akupe!..halafu ile uliniambia nichukue kwa erick sikuipata!!!?
Khaaa! Mdai aisee mpaka akupe!..halafu ile uliniambia nichukue kwa erick sikuipata!!!?
Kaka/dada sina hakika kama ulikuwa arusha....arusha hii hii...ngome ya kina piiijeeeey,pretta,lil flower,filipo,saharazone,derimto,kabakabana,filipo,freetown,teamo mimi,raiafulani,blackwoman,sweetldy,wiselady....et al!...
wewe hujaenda arusha wewe...!
Hehehe! Wamepitwa na wamekosa zawadi..Naona walikuwa kule kwenye jukwaa la stress hawakujua huu ujio muhimu kwa wana JF wa AT
Teamo njoo uone mwenyewe salamu za ujio toka kwa SSMpendwa Teamo....hebu fuatilia hii link wakati naingia ARS
https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/250092-pj-lizzy-b52-amyner-hodiiiiiiiiiii.html
nilikuwa hapo, yawezekana tulionana ila tu, hatukujuana... nilikuwa naonana na Erickb52 almost kila siku..... nashukuru kujua kuwa upo huko nikija nitaku-pm
by Kaka Smiling Saint
Imekula kwao mazima....Hehehe! Wamepitwa na wamekosa zawadi..
Sasa naona mnatafuta ugomvi....naomba tricky za kudai......
Hahahahahahahahaaaa hapa sitii neno kwa kuwa fumbo mfumbie mjinga b52 nitaling'amuapole.... i wish i could see yu tuu... next time Mungu akipenda.... kwani alumelu ilikupa stress? uko upande wa rejao au wa pj?
Sasa naona mnatafuta ugomvi....
Ntakutafutia ya kichina.....usiulize nini
Mwambie, b52 nipatie zawadi yangu, usipomdai anakurusha huyu... Hakikisha anakupa lol.naomba tricky za kudai......
Nimegundua ya Manzese inakufaa sana wewehah... ukinipa ya kichina naandamana.....ukinipa ya singapore...... naikataaaaa.... ukinipa ya malaysia naitupa...... ukinipa ya indonesia natifikilia kwa mbaaaaaaaaaaaali
We! Ujaribu kumpa ya kichina uone kama sijakuhamisha arusha! Kwani mie nilikupa ya kichina?Sasa naona mnatafuta ugomvi....
Ntakutafutia ya kichina.....usiulize nini
Kwanza zawadi yenyewe mbayaaaaaaaa nashangaa anaing'ang'ania utadhani nikimpa ataipendaMwambie, b52 nipatie zawadi yangu, usipomdai anakurusha huyu... Hakikisha anakupa lol.
Kwanza arusha nishapachoka....We! Ujaribu kumpa ya kichina uone kama sijakuhamisha arusha! Kwani mie nilikupa ya kichina?