According to Europe Gulf Information Center, hivi ndivyo wanasema kuhusu Kuwait ambalo nalo ni taifa la Kiarabu:-
View attachment 1186921
Nitajie nchi moja Afrika ambayo university enrollment, wanawake wanawazidi wanaume!! Au mnataka kutuambia Kuwait sio Waarabu, au sio Waislamu?!
Tukija upande wa Saud Arabia, Ripoti inayopatikana
Research Gate huku ikiwa imeandikwa na msomi kutoka The George Washington University, hivi ndivyo inasema:-
View attachment 1186957
Yaani zaidi ya miaka 20 iliyopita, Saudia nako inaonesha idadi ya wanawake walio-graduate university ni kubwa kuliko wanaume! The same kama ilivyo Kuwait!!