A women conference held in Saudi Arabia 2018

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1566190397519.jpeg

1566189623122.jpeg
 
doh!!!
labda wanawake wako bize sana so wametuma wawakilishi
 
Dini, alafu kuna watu wanakataa eti si kweli.
Nilikua na rafiki mdada toka Saudi Arabia, hakutamani kurudi huko hata kidogo ni full kupelekeshwa, wana kitabu kinawafundisha jinsi ya kucontrol wanawake. Cha kushangaza kuna wanawake humu ndani wanatetea huu upuuzi
 
We inakuuma nini wakipelekeshwa?
 
Dini, alafu kuna watu wanakataa eti si kweli.
Nilikua na rafiki mdada toka Saudi Arabia, hakutamani kurudi huko hata kidogo ni full kupelekeshwa, wana kitabu kinawafundisha jinsi ya kucontrol wanawake. Cha kushangaza kuna wanawake humu ndani wanatetea huu upuuzi
Binafsi ninekiona hiki cha huyu anaitwa B. R. Clark.

Kwa jina hilo, nadhani atakuwa siyo Msaudi huyu...

Amazon product ASIN B007K3BR7U
Muulize huyo rafiki'ako atupe jina la hicho kitabu au la mtunzi wa hicho kitabu. Akishindwa mwambie asone hicho halafu mwambie aachane na uongo usiokuwa na faida kwake, kwako na kwa jamii.

Nakutakia asubuhi njema.

Asalaam Alaikum.
 
Ndio bibi, nilitaka nijue kisa cha hao wavaa makanzu na mindevu kutokuruhusu wanawake.wajiamulie mambo yao.

Kwanza kabisa nnakushangaa sana maana umeandika "wavaa makanzu na mindevu" kama vile kuvaa kanzu na kufuga ndevu ni kitu kibaya sana.

Mbona hiyo ni sunna ya Mitume wote! Hata picha za mnaesema "Yesu" zote nnaziona anavaa kanzu na ana hiyo "mindevu". Kama "Mungu" wenu kafanya hivyo unawashangaa vipi hao ndugu zake "Mungu" wako? Wao wanampenda Yesu na wanafata sunna yake? Wakukushangaa ni wewe usiyefata sunna ya Yesu.

Kuhusu huo mkutano kama ni kweli basi hao watu wanaona mbali sana zaidi yetu. Kwani hata hapa kwetu kuna kauli mbiu ya "wanawake wanaweza wakiwezeshwa"! Unaikumbuka? Sasa wakuwawezesha wanawake ni nani? Jibu utalopata fanya siri yako.

Nakuuliza tena, kuna ubaya upi wanaume qakifanya mkutano wa kutazama haki na maslahi ya mwanamke bila mwanamke kuwepo?

Kwa upande wangu naona hao watu ni wa kuigwa na wanaume wote duniani. Ni vyema mngekaa mkatazama mtawawezesha vipi wanawake.

Ni jambo jema sana hilo si la kubezwa hata kidogo.

Mwanamke yupi asiyependa au asiyetaka mwanamme anaemjali?
 
hivi ni kweli mohammad alipokuwa ana miaka 53 alimuingilia mtoto wa miaka 9,ambaye kwa sasa ni mtoto wa darasa la tatu,hivi hii ni kweli au ni propaganda za makafiri tu
 
Kitu kimoja ambacho kinawatatiza sana ni "ignorance" au Kiswahili chake ujinga.

Umesoma kuhusu wasio Waislam wasio na ujinga wanasemaje kuhusu Mtume Mihammad Salla Allahu Alayhi wasalaam? Naamini hujawasoma kwa kuwa wewe unaonesha unasomea ujinga kutoka kwa wajinga wenzako.

Hebu leo kidogo wasome wasio Waislam wenye kutumia akili...

Tamaduni za kiarabu zimewafanya wanawake kuwa chombo cha starehe
 
Kitu kimoja ambacho kinawatatiza sana ni "ignorance" au Kiswahili chake ujinga.

Umesoma kuhusu wasio Waislam wasio na ujinga wanasemaje kuhusu Mtume Mihammad Salla Allahu Alayhi wasalaam? Naamini hujawasoma kwa kuwa wewe unaonesha unasomea ujinga kutoka kwa wajinga wenzako.

Hebu leo kidogo wasome wasio Waislam wenye kutumia akili...

mjinga mimi au mjinga huyo aliyevua nguo na kumuingilia mtoto wa darasa la tatu
 
Back
Top Bottom