MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,575
- 53,613
Inaonekana huna hoja za kielimu zaidi ya ujinga,hisia na chuki za mwanamke mjamzito. Nimekuuliza swali rahisi sana "Upuuzi gani" ? Wewe unae uona ndio unatakiwa utuonyeshe sisi tusio uona na ujiandae kujibu maswali tutakayo kuuliza.
Pili,hao wanawake wanao enda kwa mashababu kwa mujibu wako wameamrishwa na mtume wetu,je unaweza kutoa andiko kuhusu hilo ? Una maanisha ya kuwa mtume wetu ana ridhia wanawake kubakwa ?
Wewe ndiye huna elimu ya dunia zaidi ya hizo pumba za kizombi ambazo huwa mnafundishwa kwenye misikiti, nimekupa link inayo onyesha Saudi Arabia ilivyo ya 141 kati ya mataifa 149 kwenye gender gap, utafiti uliofanywa kisayansi sio hayo mataputapu yenu