Aisee kumbe!Umahiri wake umemponza! Unaambiwa hata kinye chake kilikuwa lulu...unaambiwa hakuna kilichoachwa ndio maana ni ngumu kupata hata maiti yake
Shangaa sasa nyama pembe na viungo vyake vingine vimeenda kufanyia nini
-ndele
-mvuto
-ngekewa
-dawa za nguvu za mwili
-dawa za nguvu za kiume
-dawa za nguvu za kike
Kipaji kimemponza[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji25]
Absent Without Official Leave...Anamaanisha Absent With Out Leave "A.W.O.L" eti ameondoka bila ya ruhusa..ni common say Jeshini.
Kwani ng'ombe ni faru?Kwan ng'ombe akifa lazima uonyeshwe kabur ndo uamin?
Fanya comparisonKwani ng'ombe ni faru?
Wewe si MimiFanya comparison
your john hapo kwenye picha kwa sasa ameshakuwa unga, walisaga hiyo pembe yake huko china na wanatengenezea dawa za kuongeza urefu wa uuume na shahawa za kichina. ndovu na faru wetu wanauawa kwasababu ya vibamia vya watu wa india na ukosefu wao wa nguvu za kiume kwasababu zaidi ya kutumia kama vinyago, wanatengeneza madawa ya kienyeji ya kuongeza urefu wa uuume na kusimamisha etc.Bring back our John
hahahaha, kwasababu tulimnunua south kwa bei ya gali kumbe hamna kitu au?Kwa nini walimuita johni si wangemuita ata pogba
Ulisomaga matrix, utpata ufafanuz zaidWewe si Mimi
[emoji31] [emoji31] [emoji30] [emoji3]matrix tena!Ulisomaga matrix, utpata ufafanuz zaid
Kweli wasomi wamegeuka wapigajiMshana jr...nchi hii bado sana...yaani mpaka tujielewe itachukua muda mrefu....can you imagine hata majangili tunaishi nayo vijijini....Ninachozungumza hapa ni kuwa hata maofisini mwetu wezi wanafahamika...Viongozi nao maamuzi yao niyo hivyo tena....ni ajabu na kweli....unafiki ndio uliotawala katika jamii yetu...
So sadMshana jr...nchi hii bado sana...yaani mpaka tujielewe itachukua muda mrefu....can you imagine hata majangili tunaishi nayo vijijini....Ninachozungumza hapa ni kuwa hata maofisini mwetu wezi wanafahamika...Viongozi nao maamuzi yao niyo hivyo tena....ni ajabu na kweli....unafiki ndio uliotawala katika jamii yetu...