A.W.O.L (Joni)

Ama kweli baba na mama nguzo
Duniani leo hawapo tunahangaika
 
maskini kichwa maji mimi ntaelewa nini hapa!
Huelewi nini hapa na wewe...
Anamaanisha Absent With Out Leave "A.W.O.L" eti ameondoka bila ya ruhusa au ili uelewe vizuri zaidi,ni kwamba ametoroka.

Ni common say Jeshini.
 
Huelewi nini hapa na wewe...
Anamaanisha Absent With Out Leave "A.W.O.L" eti ameondoka bila ya ruhusa au ili uelewe vizuri zaidi,ni kwamba ametoroka.

Ni common say Jeshini.
haya nimeelewa asante
 
Hatari kweli kweli,hii heading nilijua ndani yake kuna mambo ya kina Van Dame kumbe ni Faru John,acha nipite kwanza nikishafika home ndo nisome vizuri.
 
John alikuwa anahodhi kila kitu

John alikuwa anamiliki majike yote huko Ngorongoro,utashangaa binadamu wakaanza kumuonea wivu eti anafaidi sana kuliko wao.Kweli nimeamini ubinadamu kazi bora umfadhili Mbuzi kuna siku utakunywan supu yake.
Umahiri wake umemponza! Unaambiwa hata kinye chake kilikuwa lulu...unaambiwa hakuna kilichoachwa ndio maana ni ngumu kupata hata maiti yake
Shangaa sasa nyama pembe na viungo vyake vingine vimeenda kufanyia nini
-ndele
-mvuto
-ngekewa
-dawa za nguvu za mwili
-dawa za nguvu za kiume
-dawa za nguvu za kike
Kipaji kimemponza[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji25]
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwan ng'ombe akifa lazima uonyeshwe kabur ndo uamin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…