20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,263
Mfate MUNGU. Usikae kimya , Habakuki baada ya kuona Maombibyake hayajibiwi , hatendewi haki , aliimuliza MUNGU , Why?? Akamjib arekebishe mambo flani na kweli alifanya.Hii shida mizizi yake imesambaa sana. Mungu mwema mno
Atatupa msaada kwa kweli.
Pia uki kabidhi vyote kinacho baki utendaji tu. Ndio maana pale wana Israel walivyo kuwa wakalalamika watapita wapi na pale jeshi la misri lipo close MUNGU akasema na Musa kuwa waache kulalamika , maana Yeye atafanya....