A very touching PM (ina mguso wa ajabu mno)

A very touching PM (ina mguso wa ajabu mno)

Yaani kama leo braza Mshana jr unahubili naenda kuchoma mzizi fulani wa kusafisha nyota then naelekea ibada ya jioni kanisa lolote la kiroho...khaaaaa!!
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji144] [emoji144] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji115]
 
Dhambi inaharibu kila kitu kwa huyu mwanadamu aliyefanywa kwa mfano wa Mungu.

Watu jiepusheni na dhambi ,ingawa mtu mwenye magandamizo ya kipepo kwa maana ya kuwa covered , maana kuna kuwa covered na kuwa oppressed ni somo refu kidogo , lakini kama hujampokea yesu kristo wewe baba yako mtembeo wako ni shetani 100%. Kuzimu ni halisi the same unavyoona jela ya kidunia ndiyo na kuzimu ilivyo na roho zote zilizokuwa covered na shetani zinaenda huko , zimefungiwa huko mpaka siku ya hukumu .

Mimi huwa nawacheka nakuwahurumia ninapomuona mtu anaenda kwa Mganga wa kienyeji halafu anasimuliwa kuhusu Mzimu wa kwao sijui umenena unataka hichi Mara mile ,ni bonge la uongo pale wanachotaka kufanya ni mapepo yanataka ufanye initiatiation katika uzao wako ndugu nk .

Pepo hawapendi kukaa kuzimu kwani kubaya na ndiyo maana wanapewa assignment na lucifer kuja kufanya destruction . inasadikika katika ulimwengu wa roho mapepo duniani ni kama mchanga , so bila yesu sijui watu wanaishi vipi , na kila pepo ana kazi yake maalum , wao wanatenda kwa hila na uongo .

Mfano mtu anaenda kwa Mganga wa kienyeji ukiwa na shida labda kupata kazi kinachofanyika ile mzimu/pepo/roho ya kuzimu(tottem spirit) iliyokuwa inakufuatilia tangu mdogo inaenda kwa Mganga inaongea naye kupitia roho za kuzimu na kukuamulia ni nini wafaidike kwako aidha kuongeza mapepo kwa wanao uzao wako , au kutoa mimba kwa mke binti zako na kutozaa .

Hila zote anazofanya shetani anazifanya in disguise.hutashtuka hivyo mwisho wako ni mgumu kweli kuliko mwanzo .
 
Mshana jr

Uko juu sana katika elimu ya ulimwengu wa Giza, yaani mambo ya tawala za Lucifer.
Sio kwamba nakudhihaki, hapana
Inawezekana umejielimisha vya kutosha katika nyanja ya ( Science beyond Material )

Umeelimisha wengi juu ya tawala za Kuzimu na Mbingu.
Haiwezekani kwa kiwango cha elimu yako ukawa mtu wa kawaida haiwezekani

Ujue kuwa elimu unayoitoa kwa wana JF, ni kidogo sana,
Bado una vitu vingi mno katika ufahamu wako.
Mimi nadhani Elimu yako inamzidi hata shetani mwenyewe.
Inawezekana ukawa Mkristo au Mwislamu mzuri, mwema na umeokoka lakini kwa ufahamu ulionao ninauhakika huwezi kushindwa kutumia nguvu za giza kwa,
Kuloga, Kutibu, Kwenda kuzimu kumsalimia Lucifer, kutoka nje ya mwili kwa kumediteti, Kusafiri na Ungo, Kuagua, kutabiri nyota, nk.

Kuna watu wanakuulizia sana ili uwatatulie shida zao, hasa kipindi hiki kigumu cha,
tit for tat.

Leo tukichagua Raisi wa JF. Utapita bila upinzani, unapendwa sana humu kwa utaalamu wako.

Endelea kutupa hiyo Elimu ni nzuri sana.
Kwa Wachamungu inawawezesha kumjua vizuri adui yao Shetani.
Kwa mfano lile somo lako la

"Shetani kidogo na Mungu kidogo"

Lina hekima kubwa ndani yake, kama likisomwa kwa umakini.

Endelea kutuelimisha Mshana jr, wewe ni Shujaa wetu, na ni mmoja wa Great Thinkers au Think Tanks wa JF.

Kwa asiye kuelewa anaweza kukuchukia, hata mimi mwanzo sikukuelewaga lakini sasa nakuelewa vizuri ni mtu muhimu kwetu sisi tusiyefahamu upande wa pili wa Shilingi.

Ila nadhani Shetani hapendi utoe siri zake zote.

Binafsi nakupongeza kwa ufahamu ulionao.

Naposti
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] sitawaangusheni[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Tunafanyaje kuwasaidia/kuwaondoa wale walio fungwa na VIAPO vya BIBI na BABU zao...!?

Wapo baadhi ya NDUGU na RAFIKI zetu wanao ishi kwa URITHI wa MILA na MALI kwa MAKAFARA..
Ni jambo linalochukua hadi vizazi vitatu mpaka vinne sio jambo la kusolve maramoja na kwa wakati mfupi
 
Mungu ndio kila kitu
Namnukuu tena.... Msinyoe denge pembe za vichwani wala msiharibu pembe za ndevu zenu ,msichanje chale YOYOTE katika NYAMA ya miili yenu kwa ajili ya WAFU wala MSIANDIKE alama miilini mwenu.... Mimi ndimi Bwana (Mambo ya Walawi 19: 27-28)
Aimen
 
Mshana jr diklea intaresti yako pliz, wengi wanahisi bado u mchawi, nami naamini u wakristo sasa. Hebu sema neno usimwonee aibu umwaminiye. Nanza na mimi ni wakristo kwa sasa.
@ mshana jr.
 
Mshana jr diklea intaresti yako pliz, wengi wanahisi bado u mchawi, nami naamini u wakristo sasa. Hebu sema neno usimwonee aibu umwaminiye. Nanza na mimi ni wakristo kwa sasa.
@ mshana jr.
Sioni aibu wala haya kutamka kwa sauti kubwa kwamba MIMI NI WA KRISTO na sijihusishi kwa namna yoyote ile na uchawi ushirikina wala ulozi.... LABDA itokee tu kwa nia ya kuongeza maarifa na kupanua ufahamu
 
Back
Top Bottom