MAAMUZI MAGUMU
Member
- Sep 13, 2011
- 11
- 5
Nimepewa habari kuwa Arusha kumekuwa na ongezeko kubwa la MASUGAR MAMY. Watu wa Atown je kuna ukweli hapo??
wasamehe!Hii nayo inaitwa thread....:lol:
Labda anajaribu kuulizia au kuongelea kinachoendelea Moshi kati ya hao anaowasema na wanafunzi wa MUCOBS.Mhhhh hii hii Arusha au kuna nyingine
mbona hatuwaoni au wewe ndo umeangukia kwa mmoja wao