A Special message to single mothers

A Special message to single mothers

Binam asante kusema hayo lakini mimi wala huwa sijali kabisa nashangaa wanaoumiaga maana nikimuona mwanangu napata raha sana
Kuweni na mioyo migumu msitishwe na wanaume wenye masimango na wabinafsi,tena kama mwanaume hataki mwanao piga chini
Binamu usikatishwe tamaa...yote maisha. Unaweza kuwa unampa malezi bora sana mwanao kuliko hao walio wawili.
 
Hajajiongeza mngekuwa single mom mngetoa ushuhuda mpate jiiphone
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]ji iPhone GB 128 looh!hivi una mtu anakubebisha wewe sio single mother!!!
 
Hivi single mother's nini mpk mtu ajihisi ni inferior?!!
Mbona ni vitu vya kawaida sana ktk maisha!!

Mimi niseme ukweli wangu sehemu pekee niliyoona single mothers wanadharaulika ni jf!!ila katka maisha ni vitu vidogo mnoo!na wanaolewa kama wengine tu!mifano ipo hai mingi tu!

Mungu ndo anajua mwenza wa mtu ktk haya maisha
Nimejua chanzo cha uzi wako wa leo [emoji23]
 
Back
Top Bottom