mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,868
- 45,868
Heshima kubwa sana kwenuI concur with you. Huku ndo wanadharau single moms. Sema wanajichosha pia maana sisi wala hatujifichi na tunawapenda watoto wetu kama kitu gani sijui.
Heshima kubwa sana kwenuI concur with you. Huku ndo wanadharau single moms. Sema wanajichosha pia maana sisi wala hatujifichi na tunawapenda watoto wetu kama kitu gani sijui.
We acha kubishana na wanaumembona povu sm
Ili Nikiachwa niachike [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pendana mama pendanaaaaa.
Penda them vibaya mnoo!!!waache na majungu yaoI concur with you. Huku ndo wanadharau single moms. Sema wanajichosha pia maana sisi wala hatujifichi na tunawapenda watoto wetu kama kitu gani sijui.
Una mpango wa kuachika tena msifanye hivyoIli Nikiachwa niachike [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante boo bearHeshima kubwa sana kwenu
Kama unapenda bado usikubali kuachwa mwayaIli Nikiachwa niachike [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wanajichoshaga haki vile. Mimba tubebe sio kuponda wao ndo wapaze shingo.Penda them vibaya mnoo!!!waache na majungu yao
boo bear?????Asante boo bear
Honey bunnyboo bear?????
Duuuu ! una terminology za kufa mtu Mzigua90!Honey bunny
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji108] [emoji108] [emoji108] bibi huo msemo tuuu!niende wapiii!!!Una mpango wa kuachika tena msifanye hivyo
Yajayo yanafurahisha Ray kamata hapo hapo
Kulea tulee sisi,wao viwaume as if umemuomba hela ya kula!Wanajichoshaga haki vile. Mimba tubebe sio kuponda wao ndo wapaze shingo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha gongana!!!Honey bunny
boo bear?????
Ila na wewe una nyuzi nyingi za kuponda wanaume.Kuna wanaume wengine wala hawana shida kabisa kama G wangu anampenda utamfikiri kamzaa yeye
We wa kaliua huko utajua wapi hayaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuuu ! una terminology za kufa mtu Mzigua90!
Yaaaan![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lugha gongana!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ila na wewe una nyuzi nyingi za kuponda wanaume.
Tafuta dikshenariYaaaan!